Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Habari?
Embu tukutane tuliopigwa sana na hizi mambo zinaitwa mapenzi mpaka tumekiri kuwa pesa ni furaha kuliko mapenzi. Yaani bila kupepesa macho huna imani tena kiasi kwamba hata ukipata MTU unajisemea'nakuachia wewe Mola kama wangu ewalaaa kama si wangu ewalaaa. Na umeazimia hata ukifa huna MTU ni poa tu kikubwa nisipate tabu hata kwenye kupata msosi.(ndalama)
Mwenyezi Mungu abariki na kuponya mioyo yetu maisha yasonge.
Amina