Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

Habari? Embu tukutane tuliopigwa sana na hizi mambo zinaitwa mapenzi mpaka tumekiri kuwa pesa ni furaha kuliko mapenz.
Yaan bila kupepesa macho huna imani tena kias kwamba hata ukipata MTU unajisemea'nakuachia wewe Mola kama wangu ewalaaa...kama si wangu ewalaaa.

Na umeazimia hata ukifa huna MTU ni poa tu kikubwa nisipate tabu hata kwenye kupata msosi.(ndalama)
Mwenyez Mungu abariki na kuponya mioyo yetu maisha yasonge.Amina

NB;Tusiumie tena.EASY
Tatizo mnampenda kichwa kichwa mwili mzima ndio maana mnaumia .

Mwanamke haitakiwi hata kama unampenda hautakiwi umwonyeshe wazi kuwa unampenda atakunyamyasa sana akijua kuwa umekufa umeoza
 
Tatizo mnampenda kichwa kichwa mwili mzima ndio maana mnaumia .
Mwanamke haitakiwi hata kama unampenda hautakiwi umwonyeshe wazi kuwa unampenda atakunyamyasa sana akijua kuwa umekufa umeoza
Na mwanamke akipenda Je...afanyeje
 
Back
Top Bottom