Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaMimi nishafika stage ambayo hata aje mfano wa malaika kwa umbo la mwanamke akasema yeye ametumwa kwa ajili yangu basi sitaki hata anisogelee.
Kitu nillichojifunza kwenye maisha ni kwamba sio kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu,Kuna vingine ni kwa ajili ya waliochaguliwa tu.katika moja ya vitu ambavyo nilishaamua kuwa havinihusu kabisa basi ni mapenzi.
Nishapitia hii shida mara tatu kubwa na mara mbili kati ya hizo wanawake waliolewa wakati bado tuko kwenye mahusiano,binadamu wakatili sana nikaalikwa na shughuli kabisa yani.Mtu asinambie habari za ntampata wa kunipenda wala nisisikie habari za Mimi kuoa,TAFADHALI.
Hapana bana, tafuta pesa atakukuta hapohapo kwenye utafutaji na utafurahi, Mungu anawatu bana tena watu haswaaaaHongera cute...mwenzio nitazikwa nalia
Wanga wabayaaIla poa, mtaachana tu.....[emoji25]
[emoji23][emoji23]maharia kwenye ubora wakoNdio shida ya kuwa na mpenzi mmoja[emoji23][emoji23].
Ukiwa na wawili watatu hivi mapenzi hayasumbui.
Sasa mbususu itakuwa inakaa bila matumizi jamaniHabari? Embu tukutane tuliopigwa sana na hizi mambo zinaitwa mapenzi mpaka tumekiri kuwa pesa ni furaha kuliko mapenz.
Yaan bila kupepesa macho huna imani tena kias kwamba hata ukipata MTU unajisemea'nakuachia wewe Mola kama wangu ewalaaa...kama si wangu ewalaaa.
Na umeazimia hata ukifa huna MTU ni poa tu kikubwa nisipate tabu hata kwenye kupata msosi.(ndalama)
Mwenyez Mungu abariki na kuponya mioyo yetu maisha yasonge.Amina
NB;Tusiumie tena.EASY
Tuanze na hiyo avatar hapo boss ...au basi tuendelee na mada husikaMimi nishafika stage ambayo hata aje mfano wa malaika kwa umbo la mwanamke akasema yeye ametumwa kwa ajili yangu basi sitaki hata anisogelee.
Kitu nillichojifunza kwenye maisha ni kwamba sio kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu,Kuna vingine ni kwa ajili ya waliochaguliwa tu.katika moja ya vitu ambavyo nilishaamua kuwa havinihusu kabisa basi ni mapenzi.
Nishapitia hii shida mara tatu kubwa na mara mbili kati ya hizo wanawake waliolewa wakati bado tuko kwenye mahusiano,binadamu wakatili sana nikaalikwa na shughuli kabisa yani.Mtu asinambie habari za ntampata wa kunipenda wala nisisikie habari za Mimi kuoa,TAFADHALI.
Hahah Mimi ningeenda kuangukia keki aiseeMimi nishafika stage ambayo hata aje mfano wa malaika kwa umbo la mwanamke akasema yeye ametumwa kwa ajili yangu basi sitaki hata anisogelee.
Kitu nillichojifunza kwenye maisha ni kwamba sio kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu,Kuna vingine ni kwa ajili ya waliochaguliwa tu.katika moja ya vitu ambavyo nilishaamua kuwa havinihusu kabisa basi ni mapenzi.
Nishapitia hii shida mara tatu kubwa na mara mbili kati ya hizo wanawake waliolewa wakati bado tuko kwenye mahusiano,binadamu wakatili sana nikaalikwa na shughuli kabisa yani.Mtu asinambie habari za ntampata wa kunipenda wala nisisikie habari za Mimi kuoa,TAFADHALI.
Haha!umekuwa standard yunit ya wanaoumizwa mkuuAisee kila siku mimi tu!..😂
Nitulizeni kidogo nishachoka kuwa wa mfano!
Ashapata yule mwenye saut ya kokoto ndo maana huku humuoni sanaaNamimi nahitaji kupumua kha! Muoneni na Financial service nae yumo sema havumi..😂
Kwani mkolezo huwezi upata bila kuwa na matarajio mrembo?Ha haa....ndo shida inapotokea.mkolezo