Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

Hivi nyie mnao umizwa na hii kitu mapenzi, hua mnaumia wapi?

Yaani nikikuuliza unaweza ukanionyesha panapo una kwasababu ya mapenzi?

Kuna mtu kaniambia eti anaumia kwasababu ya mapenzi, sasa nimemuuliza anionyeshe mahali panapo muuma
[emoji23][emoji23]
 
Cha msingi ni kutokuwa na expectations tu. Ukianza kutegemea lolote kutoka kwa ulienae, utapata stress na kuumia. Ubaya ukionesha kuumia kwako, wanawake wengi wanakushusha katika status ya umbwaa. Kwisha habari yako na depression baada ya hapo
 
Hakika mkuu
 
Habari?

Embu tukutane tuliopigwa sana na hizi mambo zinaitwa mapenzi mpaka tumekiri kuwa pesa ni furaha kuliko mapenz.

Yaan bila kupepesa macho huna imani tena kias kwamba hata ukipata MTU unajisemea'nakuachia wewe Mola kama wangu ewalaaa...kama si wangu ewalaaa.

Na umeazimia hata ukifa huna MTU ni poa tu kikubwa nisipate tabu hata kwenye kupata msosi.(ndalama)

Mwenyez Mungu abariki na kuponya mioyo yetu maisha yasonge.

Amina

NB;Tusiumie tena.EASY
Kikubwa mungu alichokiweka kwa binadamu ni KUSAHAU. Mapenzi yanauma, unazoea inabaki story tuu
 
Back
Top Bottom