Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

Pole mno, katika vitu nashukuru ni kwamba hakuna x aliwahi nijeruhi kiasi nikachukia mapenzi,

Najua kupenda bhana, nikipenda napenda km ndo naanza mapenzi siwezi kujibana bana ktk hilo nikimuelewa mtoto wa mtu nampenda bila kuhofia kitu yani
Wachaaa wewe....Nimekupenda bure.
 
Kuna bwege mmoja alinikoroga mtima wangu mpaka sio poa, yani ni kama movie hivi. Nilipojaribu kurudi tena katika mahusiano huyo ndie alinivuruga kabisaaa,picha la kutisha nilokutana nalo kwa yule wa kwanza ni nafuu.

Kwasasa natafuta sana pesa,nakua bize muda mwingi,sina weekend,yani mimi ni kazi tu. Nikirudi kulala nakua nimechoka sana hivyo nalala kama ubao nakuamka kama ubao. Siwezi kuvuruga ratiba yangu kisa mtoto wa mtu.
 
Niliumia mara moja tu, tena mpenz wangu alikufa kwny ajali ya meli ile Mv Spice Islander iliyotokea Nungwi.

Ila hawa kenge wengine huwa nakuwa na tahadhari nao sana na wala siumiagi. Na sidhani kama itatokea.
 
😂😂😂😂😂😂eti kenge
 
Back
Top Bottom