Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

Kuna bwege mmoja alinikoroga mtima wangu mpaka sio poa, yani ni kama movie hivi. Nilipojaribu kurudi tena katika mahusiano huyo ndie alinivuruga kabisaaa,picha la kutisha nilokutana nalo kwa yule wa kwanza ni nafuu.

Kwasasa natafuta sana pesa,nakua bize muda mwingi,sina weekend,yani mimi ni kazi tu. Nikirudi kulala nakua nimechoka sana hivyo nalala kama ubao nakuamka kama ubao. Siwezi kuvuruga ratiba yangu kisa mtoto wa mtu.
Big up sana kwa hlo
 
Utavuruga tu
 
Mapenzi ni nn?
Mapenzi n..............
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna maisha nje ya mapenzi. Acha maisha yaendeleee.
 
Habari?

Embu tukutane tuliopigwa sana na hizi mambo zinaitwa mapenzi mpaka tumekiri kuwa pesa ni furaha kuliko mapenzi. Yaani bila kupepesa macho huna imani tena kiasi kwamba hata ukipata MTU unajisemea'nakuachia wewe Mola kama wangu ewalaaa kama si wangu ewalaaa. Na umeazimia hata ukifa huna MTU ni poa tu kikubwa nisipate tabu hata kwenye kupata msosi.(ndalama)

Mwenyezi Mungu abariki na kuponya mioyo yetu maisha yasonge.

Amina

Pole bibiye, nashindwa nikushauri nini au niseme nini? Maana mapenzi mapenzi yaache tu ila kwanini unapenda na wewe???..
 
Poleni kwa kuumizwa. Ni swala la muda tu, utaumia jipe muda lipite maisha yaendelee. Tusicomplicate maisha jifunze kurahisisha mambo, punguza kuwa serious sana hii itakusaidia.
 
karibu nikupoze, mwakata, nyinza, Vavene, kamwene, Wangaluka, ausindile, ushindidachi, kusinda vihi, namnaani, mbukweni, wakashina, kwabwina, masipota, shimboni, saitaa, amang'ana, Mwaghona, mwaluka bwanji, walindauli, ughonile, ausindile, mashine mtambuka ipo imejaa tele
 
Hii comments inaendana na avatar yako!
😃😃😃haya mapenzi mda mwingi ukiyachukulia serious sana mwisho huwa ni mbovu

2020 nlkula tukio hilo😂😂sasa hv nakula zangu gym maisha yanaenda
 
karibu nikupoze, mwakata, nyinza, Vavene, kamwene, Wangaluka, ausindile, ushindidachi, kusinda vihi, namnaani, mbukweni, wakashina, kwabwina, masipota, shimboni, saitaa, amang'ana, Mwaghona, mwaluka bwanji, walindauli, ughonile, ausindile, mashine mtambuka ipo imejaa tele
Ughonile
 
Back
Top Bottom