Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

Mapenzi ni nyo....
Sasa hivi ukimpenda mtu ingia nusu nusu...ukiingia mzima aisee ukipigwa tukuo utaona dunia chungu....
Kuna mijitu haina shukuran aiseee.....
Mi nilishajifunzaga[emoji38]
Hakika mom
 
Habari?

Embu tukutane tuliopigwa sana na hizi mambo zinaitwa mapenzi mpaka tumekiri kuwa pesa ni furaha kuliko mapenzi. Yaani bila kupepesa macho huna imani tena kiasi kwamba hata ukipata MTU unajisemea'nakuachia wewe Mola kama wangu ewalaaa kama si wangu ewalaaa. Na umeazimia hata ukifa huna MTU ni poa tu kikubwa nisipate tabu hata kwenye kupata msosi.(ndalama)

Mwenyezi Mungu abariki na kuponya mioyo yetu maisha yasonge.

Amina

Pole sana, lakini ukija kwangu sitakuumiza laazizi utafaid mahaba yangu adi utakapozeeka.
 
Kuna bwege mmoja alinikoroga mtima wangu mpaka sio poa, yani ni kama movie hivi. Nilipojaribu kurudi tena katika mahusiano huyo ndie alinivuruga kabisaaa,picha la kutisha nilokutana nalo kwa yule wa kwanza ni nafuu.

Kwasasa natafuta sana pesa,nakua bize muda mwingi,sina weekend,yani mimi ni kazi tu. Nikirudi kulala nakua nimechoka sana hivyo nalala kama ubao nakuamka kama ubao. Siwezi kuvuruga ratiba yangu kisa mtoto wa mtu.
Safi mzee... kuchezea za uso kulikupa akili
 
Mapenzi yanaumizaje hivi? Mi hata sielewi,Umekutana na Limtu huko lilikotoka Sijui limelelewa vipi kisa Kugusanisha Vikojoleo ndio Liniumize,Tupa kule!!
 
Mapenzi yanaumizaje hivi? Mi hata sielewi,Umekutana na Limtu huko lilikotoka Sijui limelelewa vipi kisa Kugusanisha Vikojoleo ndio Liniumize,Tupa kule!!
Ha ha haa
 
Mapenzi ni nyo....
Sasa hivi ukimpenda mtu ingia nusu nusu...ukiingia mzima aisee ukipigwa tukuo utaona dunia chungu....
Kuna mijitu haina shukuran aiseee.....
Mi nilishajifunzaga[emoji38]
Unaingiaje nusu nusu...au ndio kusema we unaingia kwenye makubaliano ya kugegedana tuu
 
Habari?

Embu tukutane tuliopigwa sana na hizi mambo zinaitwa mapenzi mpaka tumekiri kuwa pesa ni furaha kuliko mapenzi. Yaani bila kupepesa macho huna imani tena kiasi kwamba hata ukipata MTU unajisemea'nakuachia wewe Mola kama wangu ewalaaa kama si wangu ewalaaa. Na umeazimia hata ukifa huna MTU ni poa tu kikubwa nisipate tabu hata kwenye kupata msosi.(ndalama)

Mwenyezi Mungu abariki na kuponya mioyo yetu maisha yasonge.

Amina

Nimekuja kwa speed zote kwenye hiki kikao, maana toka alivyoniacha sina nyota wala mwezi
 
Back
Top Bottom