Kikao cha dharura: Kwa wanaume tulio kwenye ndoa mbinu za kukabiliana na wanaowataka wake zetu

Kikao cha dharura: Kwa wanaume tulio kwenye ndoa mbinu za kukabiliana na wanaowataka wake zetu

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Habari zenu wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa natumaini mko salama

Nimeleta kikao hiki ili tupeane ushuhuda jinsi ya kukabiliana na hawa ndinjii ambao wamekuwa hatari sana kwenye ndoa zetu hawa ndinjii wakishakula wake zetu huwa wanajisifu na kujiona wameyapatia maisha.

USHUHUDA
Mwenzi uliopita niliona dalili za wife kubadilika kitabia ile kwa gafla ukimwambia hiki anakujibu hivi, mzigo napewa hadi atake yeye, na mambo kedekede,nikasema hapa kuna namna.

Nikaanza kufanya upelelezi wa chini kwa chini nikawa naamka usiku wa manane nachukua simu yake tayari kwa uchunguzi
Siku ya kwanza sikuona kitu

Ya pili hivyo hivyo,
Ya tatu nikaingia kwenye mitandao yake ya kijamii ile naingia wasapu. Asee meseji na picha nilizokutana nazo nilichoka.

Usiku ule ule hasira ikanipanda,ile kuwaza nifanyeje malaika akanitokea akasema tulia dogo walianza wenzako,fanya moja mbili tatu basi nikapoa hapo wife sikumwambia kitu asubuh nimeamka na furaha ajabu basi kila nikiongea na wife katkt ya maneno nachomeka sentes ,kuchepuka raha sana, akawa anahoji unamaanisha nini,nikasema tulia ww

Siku ya kibano ikafika nikapanga mashambulizi saa 12 jana nimerudi hom mapema kwa kuwa tayari nimeshafanya upelelez wa kutosha pasipo wife kujua.

Nikachukua simu yake ye alikuwa anaoga nikamtext huyu jamaa nikijifanya kama wife jamaa akapiga simu nikampa binti mmoja hivi akamjibu short cut usipige ila chukua boda njoo sehem fulan hivi tukutane ndinjii mwitu akaingia ling nikachukua pila fasta eneo la tukio kilichofata text ndinjii mwitu ananitumia beib nimefika na kweli nikamuona ila ni usiju huez jua kinachoendelea lile eneo nikamjibu nisubir hapo hapo nakuja nika mtaget mara jamaa ana roba nilikuja na wana asee nilipigaaa nilivyo kumbuka zile text na mke wangu hasira zilizid nikamfunga tupia kwenye gari.

Nikarudi hom nikamwita wife nikamwonyesha vidio za tukio. Nikamchora maneno fulani hivi kwa spoku za moto kwenye upaja wake na kumpiga Mkwara mimi ndio kidume hapa ukijikoroga na kupika mwanaume huyoooo
Imeisha hiyooooop

Ndio hivyo wakuu tuzidi peana mbinu
 
Habar zenu wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa natumaini mko salama

Nimeleta kikao hiki ili tupeane ushuhuda jinsi ya kukabiliana na hawa ndinjii ambao wamekuwa hatari sana kwenye ndoa zetu hawa ndinjii wakishakula wake zetu huwa wanajisifu na kujiona wameyapatia maisha
Nadhani tatizo huanzia kwa mke mwenyewe na sio jamaa wa nje. Vema kutazama mapungufu ya ndani kabla ya kuwatazama wazengeaji.

Unakuta mke ndio anang'ang'aniza kabisa kuliwa tena unakuta mke ndiye analipia hadi na gharama za kulana.

Iliwahi kunitokea, tuluenda msibani (mkoani), tulipofikia hapakuwa na sehemu za kutosha wageni, sehemu zikizopatikana tukawaachia wanawake na watoto. Sisi wapiga vyombo tukatafuta sehemu kwenye centre nyingine-mbali kidogo. Huwezi amini, kuna mke wa jamaa yetu ambaye jamaa yake hakusafiri, alitufata na alikesha nasi na kuomba kulala nami. TULILALA!!

Na siku hiyo alimponda sana jamaa yetu. Naamini tatizo linaanzia kwa waume, ambalo linawalegeza wake kutoka nje!!
 
Huo muda wa kufuatilia simu za wake zenu huwa mnaupata wapi? Mwenye papuchi kaamua kugawa kwa ridhaa yake Mimi niumie kwa lipi? Kuwa mke wangu hakunifanyi kuingilia faragha zake....ndio nimaanisha ninachoandika, nipo kwenye ndoa miaka 16 sasa! Nilishaapa kuwa unapoishia uhuru wa mke wangu ndipo unapoanzia uhuru wangu yaani kuna msitari sipashwi kuuvuka,
 
Ahahaaahaha umkaze mkeoo si lawama 2shazoea ila uyo jmaa umemkamalanga kizembee, mi wak za wa2 nawasiliana nao kwa signal asee
 
Huo muda wa kufuatilia simu za wake zenu huwa mnaupata wapi?
Mwenye papuchi kaamua kugawa kwa ridhaa yake Mimi niumie kwa lipi?...
Inapatikana wapi hii species?maana waume siku hizi wamegeuka migambo na sungusungu
 
Back
Top Bottom