Kikao cha dharura: Kwa wanaume tulio kwenye ndoa mbinu za kukabiliana na wanaowataka wake zetu

Shida iko kwa mkeo ndio malaya

Hata ukimpiga huyo mkeo atatafuta mwingine...
 
Mkuu, hata huu uzi umeuandika kwa hasira baada tu ya kufungua simu ya mke wako! Hakuna cha maana hapa zaidi ya kutisha watu!

Mke ni mali ya jamii nzima! Kwani tukiichakata hiyo mbususu tunaondoka nayo? Au inaisha utamu?

Cool down mkuu!

Ila eti nikamkamata nikaenda kum.. hakuna kitu kama hicho! All in all hii ni chai!
 
Huo muda wa kufuatilia simu za wake zenu huwa mnaupata wapi?
Mwenye papuchi kaamua kugawa kwa ridhaa yake Mimi niumie kwa lipi? Kuwa mke...
Na ndivyo waume bora tunavyotakiwa kuwa, sio kujivika u C.I.A kwenye ndoa zetu! Kwa jinsi mimi ninavyochakata wake za watu, acha mke wangu naye achakatwe! Ni kubadilishana ladha tu!
Tukaeni kwa kutulia!
 
Mwanaume mwenye akili akigundua mkewe ni mzinzi huachana naye kimya kimya, sasa wewe Umegundua mkeo anagegedwa na mjuba halafu unakuja kutusimulia hapa wanavyofanyana, kisha unajisifu kuwa ulimsaka mjuba ukampata ukampa onyo kisha ukamchora na spoku kwenye upaja 😳.

Bwashee nikikuweka ktk kundi la wanaume wajinga nitakuwa nimekuonea?
 
Ukiona mkeo anachepuka;
  • Jiulize wewe una mapungufu gani??
  • Jiulize nini anakikosa nyumbani?
  • Jiulize tabia hiyo kaianza lini?
 
Tabia Ni Kama ngozi,haibadiliki kamwe.Mkeo Kama Ni mchepukaji lazima atachepukia kwingine tu.

Usikute Ana michepuko zaidi ya 5 afu wewe umezima mmoja tu.Kazi bado unayo Yaani.
 
Kuna baadh ya nyuzi unatamani kama kungekuwa na kitufe cha kudelete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…