Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliomba tujengewe msikitini baada kulalamika teuzi zake zimejaa udini sna kazi tunayo mpk 2020...
Aliomba tujengewe msikitini baada ya kulalamika teuzi zake zimejaa udini sna kazi tunayo mpk hiyo 2020...Sizonje amefikia wapi na swahiba yake (mfalme wa Morocco)
Hivi Russia wamewahi kumsaidia mwafrika gani. Huwa siwaikii kbs
Uhuru Kenyatta ni akili kubwa kwa afrika mashariki hongereni wakenya kwa kuwa na raisi mwenye uwezo wa hali ya juu
Russia in 1950 ilifungua University pale St. PetersBurg kwa jina la Patrice Lumumba University Ilikuwa inawaingisha waafrika pekee
Kabla ya hayo mnamo 1860 Russia ilichukua wa Ethiopia 1000 hadi urusi Kuwapa Funzo kwa Kazi ya Jeshi na Kuunda Vifaa vya Jeshi
Menelik aliporudi Ethiopia Akaanzisha Jeshi Kuu ambalo liliwapiga wa Italiano
Kwa Abssynia italy first war......
Waafrika 30,000 walipigana na Napoleon Kule Bulgaria 1800s surving under the soviet union Not as Slaves but Soldiers with Pay
Urusi imekuwa lakini behind the scenes atleast They tell u to ur face they dont like ur skin colour and they keep out of ur affair hawa wengine kama Uingereza wametufanyia nini cha maana?
Tukija kwa deal za Kisasa
Russia Has partnered with SA to give them Nuclear power No other western Nation was willing to do this with them Israel was but it became reluctant juu ya apartheid
Russia entered into a deal with india worth 3bn$ to research and develop Sukhoi jets witj Indian Engineers in India
Wamarekani sikugani watawaeka waindi ama waafrika chini wawape siri za ndege zao??
I always tell pople,a good African president should have studied either Economics,Law or Political Science.The Tanzanian president is a Chemist.How do you expect to have a great mind?
Kipind cha ukomboz nchi nying alisadiaHivi Russia wamewahi kumsaidia mwafrika gani. Huwa siwaikii kbs
karne ya 21 mkuu. hiyo zamani hata Tanzania ilisaidiaKipind cha ukomboz nchi nying alisadia![]()