Ndugai hawezi kujihuzulu atafanya kazi gani?Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Hivi wakiomuita Magufuli dikteta walikuwa wanamaanisha nn?Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Kwahiyo wakudenge wamekosa posho ya leo.Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Dikteta uchwaraHivi wakiomuita Magufuli dikteta walikuwa wanamaanisha nn?
Na bado hata Bunge litaahirishwa!Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Kuna watu ni selfish asee yaani unaleta sintofahamu kubwaaa kisa tu uonyeshe mabavuNa bado hata Bunge litaahirishwa!
Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Kazi zipo nyingi duniani anaweza kuamua kuwa bwana shambaNdugai hawezi kujihuzulu atafanya kazi gani?
Aeleze mikakati ya kuwasaidia wapiga kura jimbo la Kawe ili wajipatie maendeleo endelevu. Aachane na masuala yasiyomuhusu.
Baba yake anaming'ombe mingi tu huko Kongwa, atakwenda kuichunga.Ndugai hawezi kujihuzulu atafanya kazi gani?
Gwajex kapewa rungu nini!!