Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Umeambiwa anajiuzulu nafasi zake yeye mwenyewe, hiyo Katiba ya CCM inazuia mtu kujiuzulu ujumbe wa Kamati kuu mpaka ajadiliwe kwanza? Halafu hujui nafasi ya Kamati kuu kaipata sababu ya madaraka ya bungeni?Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
SheriaLawSheriaLaw???