Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Umeambiwa anajiuzulu nafasi zake yeye mwenyewe, hiyo Katiba ya CCM inazuia mtu kujiuzulu ujumbe wa Kamati kuu mpaka ajadiliwe kwanza? Halafu hujui nafasi ya Kamati kuu kaipata sababu ya madaraka ya bungeni?
SheriaLawSheriaLaw???
 
Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.

Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Kama hii ni kweli,hii ni dalili tosha kwamba Samia kashindwa kuendesha nchi.Yajayo yanafurahisha.

Ndugai ana kasoro zake Kama binadamu,lakini kwa hili la mikopo,he was right.Kama nchi hatuwezi kutegemea mikopo,hasa ukizingatia kwamba hawa watu siku zote wana agenda za siri ovu.
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Ubora gani mpuuzi tu huyo.
Naamini wapo wana CCM Bora tu wanaoweka kukalia kiti hicho Cha uspika zaidi ya Hilo litakataka
 
Kwanini ajiuzulu kirahisi hivyo? Au kwakuwa bado ni tetesi?
Ngoma imemkalia vibaya hii bwashee. Bora aondoke pengine atapata amani. Inajulikana wazi mtu akiomba msamaha husamehewa Ila mama kamgomea Ayubu na mateso yake yote.
 
Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
unaweza kujiuzuli pascal, mbona yule mbunge wa pemba au rostam walijiuzuru?
 
Ila yote nliwahi sikia alivyo kuwa anatibiwa nje alitibiwa kwa fedha za serikali.Sasa mkiimtooa na stress zote ataenda nje tena kutibiwa kwa fedha za serikali...???

Au ndo kila kitu mnamtupia nje...???
Ila mi mwenyewe sijaenda shule ila kwa alicho ropoka na wadhifa wake mi nisingeweza maana Principal ya viongozi wa juu ni kulindana hatakama anaonekana mkubwa anakosea. Sasa huyu sijui alikuwa anafikiria nini mzee wawatu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.

Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Ndugai must go, hafai kabisa,

Mtu ambae ni mnafiki,anampinga Rais,inamaana lengo lake uenda achukue yeye Madaraka kwa njia haramu,

walimchukulia poa SAMIA, Samia ni iron lady
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Acha uongo watanzania gani bado wanaomhitaji mtu aliepoteza maana ya Bunge, kuweka bunge gizani na kusimamia sheria kandamiz nyingi kupitishwa. Akafie mbele tu

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini ajiuzulu kirahisi hivyo? Au kwakuwa bado ni tetesi?
Lazima ajiuzulu, mama hawezi kufanya kazi na mtu hatari kwa usalama wa Nchi ,na hatari kwa maendeleo ya nchi, anajenga chuki kwa wananchi waichukie serikali
 
Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.

Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
acha balaa wewe
 
Kwani Chief hajaitwa dikiteta? Cdm walimsema mapema tu baada ya kuona hana mwelekeo lakini wakamtetea kijinsia. Hukumbuki aliitwa Female Dic?
Sijakutana na ilo jina aisee ila naona kwa Magu lilizidi mpaka wakina Fatuma Karume na Zitto wote wakimuita Dikteta ila kwa Samia sijaona
 
Well, they say Karma's a bitch..

Alijisahau sana, although huu ni ubakwaji wa demokrasia, acha tu na yeye alipe.. Ameumiza, kuliza na kuwadhalilisha wengi..
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.

Unakung’utwa wewe sio bure
 
Kwahiyo wakudenge wamekosa posho ya leo.

Yote hiyo imesababishwa na taarab ya mama.

Posho hawawezi kukosa ila inaweza kupungua. Kama kikao kilipangwa kufanyika leo Unguja inamaana tayari walishasafiri wapo eneo la tukio.

Heri ya mwaka mpya mzee mwenzangu.
Bado nasubiria utangazwe kuukwaa u dairekta wa Takukru
 
Lazima ajiuzulu, mama hawezi kufanya kazi na mtu hatari kwa usalama wa Nchi ,na hatari kwa maendeleo ya nchi, anajenga chuki kwa wananchi waichukie serikali
Haya ni maoni yako mkuu!
 
Back
Top Bottom