Kikao cha Mauaji "Rudisha upanga wako Alani; atakayetumia upanga, atakufa Kwa upanga"

Safi sana ila kuhuisha inabidi uwe na uelevu imenitatiza, namuona ndugu Dawada Atanasio katika movie ya amapiano na mnufaika wa amapiano na mchoraji akiwa maeneo ya chalaza wakiya tenda ya pale msalabani.
 
Baadhi ya wana CCM hawajapenda move ya mama, wao wanataka Upanga usirudi alani, kuafikiana maridhiaono na vyama vya upinzani ni usaliti kwa CCM na inahatarisha uhai wa chama.
Niliwahi kusema humu kwamba uamuzi ule wa kuzuia mikutano haukuwa wa JPM. Ulikuwa uamuzi wa CC kama ilivyokuwa kwa Bunge live
 
Baadhi ya wana CCM hawajapenda move ya mama, wao wanataka Upanga usirudi alani, kuafikiana maridhiaono na vyama vya upinzani ni usaliti kwa CCM na inahatarisha uhai wa chama.
Hao Wana CCM hawajui mikopo ya wazungu Ina masharti?watulie
 
Niseme tu haiwezekani kiongozi mkubwa wa nchi afe kizembe namna ile kama kuku halafu mambo yawe sawa tu. Kuna milima na vichuguu vya kusawazisha ili pawe tambarale tena. Na hakika patasawazishwa.
 
Niseme tu haiwezekani kiongozi mkubwa wa nchi afe kizembe namna ile kama kuku halafu mambo yawe sawa tu. Kuna milima na vichuguu vya kusawazisha ili pawe tambarale tena. Na hakika patasawazishwa.
Una maana ipi? Kwamba kuna mkono wa mtu? Ile ni natural death tu
 
..anazungumzia Jm alivyoamuru Tl auwawe bila hatia.
 
Isaya 33;1.

Ole wako uharibuye ila hukuharibiwa,

Utendaye Hila Wala kukutendewa Hila,

Utakapokwisha kuharibu utaharibiwa wewe,

Utakapokwisha kutenda Kwa hila,

Wao watakutenda Hila wewe.

Aamen.
 
Isaya 33;1.

Ole wako uharibuye ila hukuharibiwa,

Utendaye Hila Wala kukutendewa Hila,

Utakapokwisha kuharibu utaharibiwa wewe,

Utakapokwisha kutenda Kwa hila,

Wao watakutenda Hila wewe.

Aamen.

Hayo mambo ya kinabii hayo. Sisi makapera wa vijiwe nzi hatuyaelewi
 
Wakuu mimi na pita tu,Taikon uje hapa ufumbue fumbo.Watu wamechoka kufikiri
 
Magufuli aliua akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwajabe. Naye hatimaye akawajoin kule March 17, 21. Sijui wanakabilianaje hasa na Ben Saanane. Maana bado hajathibitisha andiko lake la PhD
 
Umezunguuka sana in short karma is bitch.........siyo kwenye mauaji tu.....unachomesha wenzako Kwa boss makusudically kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]Iko siku na wewe utachomwa na moto wako utakuwa ni Wa tindikali....Kila skirt inayopita mbele Yako lazima ukafunue.... Watakuja wafunue ya bint Ako[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…