Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Muungano si ulifanywa na watu 2? Si waweza pia kuvunjwa na watu 2? ama nakosea?
Ulikuwa ni Karume na Nyerere-
Sasa ni Maalim Seif na Karume
When it's said and done will winner will be: Rostam Abdulrasul Aziz. Mark my words.....!!!
Sasa kila kitu Rostam? yaani yeye ana akili kupita wazenj na wabara wote? ama kweli mmekosa cha kusema! naona mko terrified bure kwa huyu ndugu..
Problem ya zenj kuhusu muungano ina historia from day one (karume na nyerere) walipoufanya muungano huu sirisiri..
Nafikiri tunamuogopa sana (over-emphasize) rostam he just a smart business person nothing more
Viongozi wetu wenye dola na umma wanaweza kufanya chochote for the benefit of the country and its citizen
Sisi tumeshafahamu jinsi ya kumuondoa huyu King Maker.
Mwezi wa 10 tutapiga kura kuondoa wote wanaowekwa na huyu jamaa.
Tatizo ni lenu nyie Wazenji ambao hamfahamu kuwa Maalimu Seif anapewa pesa na RA na sasa huyu Seif ndiyo anakuwa Kiongozi wa siasa za Zenji. Atakapoanza kudai malipo kwa Maalimu na hiyo CUF yenu, ndipo mtakapoanza kulia na kuomba msaada kwa Wabara.
Mkuu jMushi na wengine,
Unaweza kuwa sawa kwa hali ya sasa. Ila kama kweli huyu jamaa ni Iran na huyu General wanayemsema, kuna haja CIA wakaanza kufuatilia hali ya sasa ya Zanzibar. Kama kweli Waarabu wameanza kuyatoa macho kisiwani hapo na ukichukulia kiulinzi hawa jamaa wa Zanzibar wako weak sana, nje ya Muungano watakuwa ni sehemu ya kufanyia majaribio ya silaha. Itakuwa ni kuonyeshana ubabe kati ya Iran na USA.
Kibaya zaidi ni kuwa kama hali hii itatokea basi ni masikini wa kawaida wataumia wakati huo hawa waamuzi na King Maker watakuwa wameshapanda mapipa na kuja kujificha Tanganyika au Kenya au kurudi kwao Uarabuni/Iran.
Nashindwa kuelewa kulala kwa USA hasa ukichukulia kuwa hawa Iran wanayatolea sana mafuta na Uranium ya Tanzania.
Ingelikuwa vema wananchi wakapewa somo la faida na hasara ya Muungano na baada ya hapo, wote tupige na uamuzi ukiamuliwa na wananchi wa Tanganyika au Zanzibar basi Muungano au UVUNJWE au tuendeleze ila kwa kuufanyia marekebisho makubwa.
Kwasababu huyu jamaa influence yake ni above the political threshold...
Kwa vyovyote vile..He's the King maker,hatma ya Taifa letu iko mikononi mwake,pale atakapopata faida zaidi ndio utakaoukuwa mwelekeo wake hence wa Taifa letu....Kama tukiifanya equation ya potential profit kwa King maker kama hivi; (Deal-Muungano > Deal + Muungano),then go figure..
Taifa la wajinga " yaani hatima yenu iko kwa RA" pekee kwahiyo nikisema
Sitta na bunge lake lote wako chini ya RA ni sawa ...
JK na mawaziri wake wako chini ya RA ni sawa...
TISS iko chini ya RA, taifa la wajinga kweli
Kwa jinsi huu mjadala unavyoendelea hapa ndo ukweli wenyewe,King Maker is above the frey,kwa vyoyote vile kisiwa pia ni chake sasa,kisiasa anapatana na nyie CUF na CCM pia yeye mwenyewe....Teh teh teh!
Mjadala huu ni uzushi (hearsay) wanaosema RA ni national problem wanataka ku-deviate attention kutoka kwenye ofisi zao kwakuwa sijaona mahali RA is responsible to put things in order..wenye madaraka ni Sitta (bungeni), JK (executive) na Mwanasheria mkuu wa serikali ...wameshindwa kazi wanaanza kulia lia RA, this is nonsense politics mixed with emotional biaseness!
RA hana uwezo wowote CUF wala kupatana na kutopatana naye haisaidii chochote katika maamuzi ya CUF na serikali yake...wajinga wa CCM ndio waliompa cheo na ndio rafiki yao...kama anaweza ku-influence wana ccm bara (sitta,JK) na wengine na conclude kwamba Tanganyika taifa la wajinga na walalamikaji tuu....
Midomo mirefu kutaka muungano lakini issue ndogo (one man show) anawasumbua agh!

Atapata faida kubwa zaidi kama CUF ikishinda,lakini haina maana kwamba yeye si mwana ccm,kwani ni wana ccm wote wenye kuutaka muungano?Na hao wana ccm wa zenji si wanamakubaliano na nyie pia,ama mna makubaliano na ccm yote kiujumla?
Kivipi atapata faida kubwa zaidi kama CUF itashinda??
Au unatengeneza "Hypothetical" question!
Nyie ndio mnaodanganya watu kwamba RA anauhusiano na CUF ili ku-deviate attention kutoka kwenye chama chenu (CCM)..kama anauhusiano si wamfukuze uanachama?
Acheni blah blah na emotions ku-judge vitu badala ya ku-rational..RA ni biznessman he just smart nothing more...kama amewshinda kibiashara msimsingizie yasiyomhusu!...
kama ni kuwawajibisha muwajibisheni JK na Sitta na wale wanaompa biashara serikalini because wana option ya kutofanya naye kazi bila hata kufanywa kitu mamlaka wanayo ..sic of nonsense.
Taifa la wajinga " yaani hatima yenu iko kwa RA" pekee kwahiyo nikisema
Sitta na bunge lake lote wako chini ya RA ni sawa ...
JK na mawaziri wake wako chini ya RA ni sawa...
TISS iko chini ya RA, taifa la wajinga kweli
Ingawa sikubaliani na maoni yako karibu yote kwa vile yamejaa chuki dhidi ya "Watanganyika", ni lazima niseme hapa kuwa comment yako hiyo hapo juu ina nguvu sana, na nimeikubali yote kimantiki ingawa wewe mwenyewe unaweza kuwa uliibandika kwa maana ya kuwatukana "Watangayika."

Kichuguu,
Ndiyo maana nasema mwaka huu itabidi kupitisha kampeni za waziwazi za kuwaondoa watu wote waliowekwa na RA.
Mwenyewe ntajitahidi kuwajulisha ndugu na jamaa zangu wote. Sijui ntapata wangapi ila naona tukiungana, basi tutapata wengi.
Kivipi atapata faida kubwa zaidi kama CUF itashinda??
Au unatengeneza "Hypothetical" question!
Nyie ndio mnaodanganya watu kwamba RA anauhusiano na CUF ili ku-deviate attention kutoka kwenye chama chenu (CCM)..kama anauhusiano si wamfukuze uanachama?
Acheni blah blah na emotions ku-judge vitu badala ya ku-rational..RA ni biznessman he just smart nothing more...kama amewshinda kibiashara msimsingizie yasiyomhusu!...
kama ni kuwawajibisha muwajibisheni JK na Sitta na wale wanaompa biashara serikalini because wana option ya kutofanya naye kazi bila hata kufanywa kitu mamlaka wanayo ..sic of nonsense.
Yote ni kweli kwa sababu CCM iko chini ya 'The King Maker', JK ambaye ndiye top wa yote ila ni chini ya the 'maker' hivyo he is over and above.Taifa la wajinga " yaani hatima yenu iko kwa RA" pekee kwahiyo nikisema
Sitta na bunge lake lote wako chini ya RA ni sawa ...
JK na mawaziri wake wako chini ya RA ni sawa...
TISS iko chini ya RA, taifa la wajinga kweli