Tetesi: Kikao cha siri cha CCM juu ya Jimbo la Singida Kaskazini

Hicho si chama cha siasa ni genge la majambazi
 

Unayoyasema yangewezekana kabisa katika tawala zilizo tangulia lakini siyo utawala huu wa mabavu,ila kaa ukijua maonezi yakizidi sana ndio mwanzo wa vurugu kutokea (Mwenyenzi Mungu atuepushe) lazima utawala wa sasa ubadilike waruhusu Demokrasia na si vinginevyo,mkono wa chuma hata kwa mambo ambayo ni haki ya msingi ya mwananchi yatatupeleka kubaya nawewe utakua miongoni mwa watakaofikwa na mabaya.
 
Ubongo matope
 
Rubbish kwani anakataa, eti kumbembeleza. Huyu ni power monger, traitor and all sorts of filthy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…