Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Wakuu, heshima yenu.
Karibuni kwenye kikao hiki maalum cha wanaume pekee. Lengo la kuketi hapa leo ni kupeana mbinu, kutakiana mema, na kusaidiana katika safari hii nzito ya mahusiano na ndoa. Kama unavyojua, kuoa ni uamuzi wa maisha yote, na ukikosea kwenye kuchagua mwenzi wa maisha, unaweza ukajikuta kwenye "kifungo cha maisha" badala ya amani.
Leo mezani tuna mada moja kuu: Uzoefu wa tabia za kiumri, kiutamaduni, na kiasili za wanawake kutoka makabila mbalimbali, na makabila gani unapaswa kuwa nayo makini kabla ya kuweka pingu za maisha.
Angalizo: Lengo la uzi hii siyo kubeza au kudhalilisha kabila lolote, bali ni kubadilishana real-life experiences na kujenga uelew wa tabia za kiutamaduni ili wanaume wafanye maamuzi sahihi na yenye busara.
Wazee wa kazi, wazee wa uzoefu, na walio kwenye ndoa kwa miaka mingi WIFE anatoka kabila gani, na ulijifunza nini?
Meza iko wazi, karibuni kwa michango!