RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Mwanamke yeyote anaweza kukufanya vyovyote bila kujali kabila!
Omba Mungu akupe mtu mwenye utu na sio mkwasi anaewaza faida tu tena mbinafsi coz tunaoa kwa ajili ya vingi na sio watoto pekee na mengi yanayotufanya tuoe