RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Imani za KIPUMBAVU
Haiwezekani watu wa kabila zima uwape tabia moja.
Waafrika mu wajinga.
Hivi antenna Ndo inamaliza hamu au inaongeza hamuHakika mkuu hao viumbe wa ukanda huo sio wema kabisa kwenye kuwaoa hao ni kuzaa nao na Kumaliza haja zako tu maana sio wavivu hata ukitaka kupewa mara 5 kwa siku.
NB;hawana antena
Ulijua kwanini waliweka antenna kwenye tv au redio utapata jibuHivi antenna Ndo inamaliza hamu au inaongeza hamu
Kunasa mawimbi,Ulijua kwanini waliweka antenna kwenye tv au redio utapata jibu
Hata kwenye tv screen si ipo..je likikosekana dish au antenna inakuaje? Si lazima muite fundiKunasa mawimbi,
Sasa kwa Mwanamke si kitobo kipo Tu au Mimi Ndo sielewi😂😂😂
Pumbavuuu kumbe mkingaaaa.😹😹😹😹 Matraco yako, wakinga msituhusishe na imani zenu za kishirikina..!!
Mapembelo 😹Pumbavuuu kumbe mkingaaaa.
Heshima yako madame...😂😂Mapembelo 😹
Ndio ila sijaelewa kabisaHata kwenye tv screen si ipo..je likikosekana dish au antenna inakuaje? Si lazima muite fundi
Mwalemi sito 😹Heshima yako madame...😂😂
Hayo makabila yanayotoa hizo antena kwa Imani ya kupunguza mihemko/nyege kwa wanawake wao/kuzuia umalaya.Ndio ila sijaelewa kabisa
Hapo nimeelewa sasaHayo makabila yanayotoa hizo antena kwa Imani ya kupunguza mihemko/nyege kwa wanawake wao/kuzuia umalaya.
Hiyo antena ni sehemu muhimu sana kwenye kufanya Mwanamke aridhike iwapo itageuzwa na kuguswa au kusuguliwa ipasavyo.
Hivyo, kwa kuiondoa hiyo Antena inamfanya Mwanamke kutoridhika hivyo kutaka tena na tena na hali hii ndio inawapa sifa mbaya kwa wanawake wa hayo makabila yanayotajwa.
nani asiewajua wakinga kwa uchawi? 🤣🤣🤣😹😹😹😹 Matraco yako, wakinga msituhusishe na imani zenu za kishirikina..!!
Ha ha haNdumba sasa twende kazi
Wasukuma narudia wasukuma 😂😂 ni ngumu sana kukuta msukuma halisi hana chale.
wafipa
wakerewe
wazigua
wakinga hawa kutoa kafara ni kugusa.
Unaamini uchawi upo?nani asiewajua wakinga kwa uchawi? 🤣🤣🤣
Wakurya waondoekama huwezi ugomvi hupendi kuendeshwa na wanawake basi hapa usiguse
Wakurya
Wameru
wachaga wa machame
wana majirani zao wanaitwa Wanyiramba,wanyaturu na Wairaq...Pipa na mfunikowa mbulu;
Hao hawajui kukataa ukimtongoza ndani ya Lisaa limoja kwa line za maana unaenda Kumvua chupi Lisaa linalofuata.