goldcall
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 416
- 567
wanaume wenzangu hamjambo
sina mengi sana ya kusema, ila hili ni muhimu sana, kumekuwa na malalamiko mengi sana ya mahusiano na ndoa, bila kusahau wanaume tunakosea hapa, unapotaka kuoa, hakikisha unaoa mwanamke ambaye naye yupo vizuri kiuchumi, kama una elimu, basi pia zingatia hilo, hakuna kuoa mwanamke asiyejishugulisha, choka mbaya, ndio hao wanakuja na mentality ya ugoli kipa mambo yakiharibika wanaenda kudanga huko.
mwanamke asiye na kazi au asiye jishughulisha amekosa sifa za kuwa mke, utakuja kunielewa mwanaume mwenzangu siku huna kazi.
Nakazia.....na hata ukiwa na kazi na pesa nyingi, bado jitu litakuendea kwa mganga, au likuwekee sumu ufe ili lipate mali zako, kama mikoa yetu ya kule..... hiyo yote ni kwasababu tumechagua kuoa sura na viuongo vingine vya mwili na si mtu kamili.
nukuu! sifa za wife material zote zibakie palepale, mahusiano mengi yanaharibika kwakuwa tulichagua sura na sio mtu.
nawasilisha...........