Kikao cha wanaume mwaka wa fedha 2014/2015

Kikao cha wanaume mwaka wa fedha 2014/2015

goldcall

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
416
Reaction score
567
wanaume wenzangu hamjambo

sina mengi sana ya kusema, ila hili ni muhimu sana, kumekuwa na malalamiko mengi sana ya mahusiano na ndoa, bila kusahau wanaume tunakosea hapa, unapotaka kuoa, hakikisha unaoa mwanamke ambaye naye yupo vizuri kiuchumi, kama una elimu, basi pia zingatia hilo, hakuna kuoa mwanamke asiyejishugulisha, choka mbaya, ndio hao wanakuja na mentality ya ugoli kipa mambo yakiharibika wanaenda kudanga huko.

mwanamke asiye na kazi au asiye jishughulisha amekosa sifa za kuwa mke, utakuja kunielewa mwanaume mwenzangu siku huna kazi.

Nakazia.....na hata ukiwa na kazi na pesa nyingi, bado jitu litakuendea kwa mganga, au likuwekee sumu ufe ili lipate mali zako, kama mikoa yetu ya kule..... hiyo yote ni kwasababu tumechagua kuoa sura na viuongo vingine vya mwili na si mtu kamili.

nukuu! sifa za wife material zote zibakie palepale, mahusiano mengi yanaharibika kwakuwa tulichagua sura na sio mtu.

nawasilisha...........
 
wanaume wenzangu hamjambo

sina mengi sana ya kusema, ila hili ni muhimu sana, kumekuwa na malalamiko mengi sana ya mahusiano na ndoa, bila kusahau wanaume tunakosea hapa, unapotaka kuoa, hakikisha unaoa mwanamke ambaye naye yupo vizuri kiuchumi, kama una elimu, basi pia zingatia hilo, hakuna kuoa mwanamke asiyejishugulisha, choka mbaya, ndio hao wanakuja na mentality ya ugoli kipa mambo yakiharibika wanaenda kudanga huko.

mwanamke asiye na kazi au asiye jishughulisha amekosa sifa za kuwa mke, utakuja kunielewa mwanaume mwenzangu siku huna kazi.

nukuu! sifa za wife material zote zibakie palepale, mahusiano mengi yanaharibika kwakuwa tulichagua sura na sio mtu.

nawasilisha...........
Kwa hiyo mkuu,kikao kitajadili maisha tuliyoyaishi 2014/2015?Mbona tupo nyuma sana kimijadala?Au tunatumia kalenda yetu binafsi na si hii ya 2024/2025?
 
Mimi ambae nimeoa goli kipa ngoja nipite kimya kimya hapa hapanifai. Siku nikimuwezesha kiuchumi nitarudi
Siku ukimuwezesha tu na ndoa inaanza kuota nyasi. Kama umeamua akae nyumbani na una uwezo wa kutoa mahitaji yote basi ibaki hivyo. Labda ujaribu kumuajiri kwenye issues zako, ila kumuwezesha akae sawa kiuchumi ni kuizika ndoa yako.
 
1730955526068.jpg

Asante sana ndugu mwenyekiti.
 
2025 wanaume wote hakuna kuhonga, atakaetusaliti na akahonga hatutamuacha salama......
 
Back
Top Bottom