Mimi nasali Roman Catholic, lakini sijawahi kukubaliana na makasisi wanao suluhisha ndoa kwasababu they don't know hata ndani ya ndoa kuna nini...🤨
Kuna mwaka flani niliwahi kumwambia kasisi mmoja kwamba sio sahihi ndoa kusuluhishwa na wao, maana ndoa zina mengi zaidi ya mambo ya kiimani pekee..😐