Kikao cha wanaume mwaka wa fedha 2014/2015

Kikao cha wanaume mwaka wa fedha 2014/2015

We mzee mbona hiyo tangu kitambo. migogoro ya ndoa si inasuluhishwa na Paroko yeye anayo?
Mimi nasali Roman Catholic, lakini sijawahi kukubaliana na makasisi wanao suluhisha ndoa kwasababu they don't know hata ndani ya ndoa kuna nini...🤨
Kuna mwaka flani niliwahi kumwambia kasisi mmoja kwamba sio sahihi ndoa kusuluhishwa na wao, maana ndoa zina mengi zaidi ya mambo ya kiimani pekee..😐
 
Itoshe tu kusema dunia hii si sehemu salama tena ya kuishi sisi wanaume,everything is hunting us down 24/7/364.
 
Back
Top Bottom