Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hahaha[emoji38]nmekuita uone ugonjwa wake nae ni figure matata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha[emoji38]nmekuita uone ugonjwa wake nae ni figure matata
Figure ni chura inakuwepo ndo maana nikawahiKikao ni cha wanaume umekuja speed kufanya nini huku?[emoji15][emoji15][emoji15]
Mmh hiyo hapanaEmbu sogea www.exotictanzania.com ujichagulie mzigo unaotaka, kimya kimya
Mkuu huku unanivunjia heshima...sinuhuagi malayaEmbu sogea www.exotictanzania.com ujichagulie mzigo unaotaka, kimya kimya
Utanunua tuu one day, bila kujuaMkuu huku unanivunjia heshima...sinuhuagi malaya
Kuna tofauti gani?ni bora uingie chimbo ukijua unaingia chimbo, hata gharama zinapungua kuliko kula malaya pasipo kujua huku ukigharamikia extraordinarilyLakini sio kwa kuingia chimbo
Wanaume, mabaharia na vijana;
Nimewaita hapa niwaulize jambo kwani kuna jambo linanitatiza.
Wakuu huwa naona wanaume wenzangu kila sketi ikipita mbele yao wanaikodolea macho na wengine hufika mbali hata kupiga mluzi au hata kuomba namba kwa ajili ya kuanzisha mahusiano.
Au sehemu za kazi hupenda kujihusisha kimapenzi na kila msichana/ mwanamke.
Na wengine husema haiwezekani kabisa kuwa na urafiki na msichana bila kutaka sex.
Kwangu mimi ni tofauti sana.
Nina bahati ya kuwa karibu sana kikazi au hata urafiki na warembo wengi sana.
Nina uwezo wa kutengeneza uhusiano kwa muda mfupi..I mean uhusiano wa kawaida.
Lakini linapofika suala la mapenzi mimi ni mchaguzi mno.
Ili msichana anivutie kimapenzi lazima awe na sifa za ziada sana.
1. Mrefu kiasi
2. Rangi sio mchaguzi sana
3. Shepu ..hiki kigezo muhimu mno
4. Ucheshi kiasi
5. Napenda mwanamke mwenye akili na sio
Akina mwajuma wa mipasho.
6. Lips zilizojaa kidogo.
Hivi hili ni tatizo?
Lakini nikipenda hufa na kuoza.
Huwa naingia mwili na roho.
Napenda mapenzi ya kumbikumbi.
Je! Wazee mnawezaje kuwa na foleni au chovya hapa na pale?
Karibuni...povu muhimu
Mkuu malaya wa chimbo sio binadamu, ukimaliza kuko..jo a sio rafiki tena, huwezi linganisha na mke uliyemweka ndani.Kuna tofauti gani?ni bora uingie chimbo ukijua unaingia chimbo, hata gharama zinapungua kuliko kula malaya pasipo kujua huku ukigharamikia extraordinarily
Hata jembe lenye mpini mbovu?
Na nunua jipya mkuu, uking'ang'ania bovu ufanisi utakuwa mbovu
Kulima nalima sana lakini nachagua jembe mnoUkiweza kununua tayari ni kwamba huna tatizo. Nazungumzia mtu ambaye anaamua kutoenda shamba na kuamua kulala sababu jembe lake halipo vizuri. Ukitaka kulima lima na kila kinachoweza kulima.