Kikao cha wanaume: Njooni mnipe ushauri

Kikao cha wanaume: Njooni mnipe ushauri

Wanaume, mabaharia na vijana;
Nimewaita hapa niwaulize jambo kwani kuna jambo linanitatiza.

Wakuu huwa naona wanaume wenzangu kila sketi ikipita mbele yao wanaikodolea macho na wengine hufika mbali hata kupiga mluzi au hata kuomba namba kwa ajili ya kuanzisha mahusiano.
Au sehemu za kazi hupenda kujihusisha kimapenzi na kila msichana/ mwanamke.

Na wengine husema haiwezekani kabisa kuwa na urafiki na msichana bila kutaka sex.

Kwangu mimi ni tofauti sana.
Nina bahati ya kuwa karibu sana kikazi au hata urafiki na warembo wengi sana.
Nina uwezo wa kutengeneza uhusiano kwa muda mfupi..I mean uhusiano wa kawaida.
Lakini linapofika suala la mapenzi mimi ni mchaguzi mno.
Ili msichana anivutie kimapenzi lazima awe na sifa za ziada sana.
1. Mrefu kiasi
2. Rangi sio mchaguzi sana
3. Shepu ..hiki kigezo muhimu mno
4. Ucheshi kiasi
5. Napenda mwanamke mwenye akili na sio
Akina mwajuma wa mipasho.
6. Lips zilizojaa kidogo.

Hivi hili ni tatizo?
Lakini nikipenda hufa na kuoza.
Huwa naingia mwili na roho.
Napenda mapenzi ya kumbikumbi.

Je! Wazee mnawezaje kuwa na foleni au chovya hapa na pale?
Karibuni...povu muhimu

Tutake radhi, Yani umetuita faragha kutuambia haya kweli?
 
Kuna tofauti gani?ni bora uingie chimbo ukijua unaingia chimbo, hata gharama zinapungua kuliko kula malaya pasipo kujua huku ukigharamikia extraordinarily
Mkuu malaya wa chimbo sio binadamu, ukimaliza kuko..jo a sio rafiki tena, huwezi linganisha na mke uliyemweka ndani.
Kama huoni tofauti ya malaya na mpenzi wako wewe huna utu
 
Ukiweza kununua tayari ni kwamba huna tatizo. Nazungumzia mtu ambaye anaamua kutoenda shamba na kuamua kulala sababu jembe lake halipo vizuri. Ukitaka kulima lima na kila kinachoweza kulima.

Na nunua jipya mkuu, uking'ang'ania bovu ufanisi utakuwa mbovu
 
Ukiweza kununua tayari ni kwamba huna tatizo. Nazungumzia mtu ambaye anaamua kutoenda shamba na kuamua kulala sababu jembe lake halipo vizuri. Ukitaka kulima lima na kila kinachoweza kulima.
Kulima nalima sana lakini nachagua jembe mno
 
Back
Top Bottom