Kikao changu na makampuni ya simu kuhusu kesi ya kuibiwa vifurushi

halotel walikujaga na line za royal bundle, zilionekana kuwa mkombozi kwa sababu angalau mtu ulkuwa unaweza kutumia internet mwezi mzima hata kama kasi sio kubwa, lakin sasa hivi imekuwa ni utapeli tu, hata kufungua pcha ya kb kadhaa ina load hata nusu saa
 
Kaka sahihi yangu ushaipata na hata ukihitaji mchango wa kuenseahea kesi kuna 100,000/-

KUVUMILIA UJINGA NI UJINGA MWINGINE...
 
Dahhhh hioo KARATASI andika Basiasi WA kwanza dah NAOGOPA sana data kuliko mizigooo yà SINZA ya kudangaa
Jana AIRTELL wamenipa surprise sijapata on a nimejiunga JUZI na KIFURUSHI cha wiki gb1 .nimetumia jf na whatsup

USIKU nkazima SIMU ASB nakutana na msg bundle lako LA SIKU gb1 limeisha yaliondelea niiishie hapa
 
Ukihitaji kukusanya sahihi nipo tayari.
 
MKUU NIELEKEZE ULIPO NIKULETEE NA MAJI NA MAFUTA YA ANNOINTED APPOSTLE MWAMPOSA HAKIKA HUTORUDI NYUMA MAOMBI YANGU KWA MUNGU
 
Nilijua tu watakuita Halaf mtamalizana faraghani, halaf mambo yatabaki vile vile...hakuna mkate mgumu mbele ya Chai!

Sema wengine tunaweza kuichukua Kesi yako tukaendelea nayo!
 
Tujulishwe tu sahihi tunaweka wapi.Chap kwa haraka nikamilishe.
 
Wooooooooote tunaotumia mitandao tunaumia ,ila tulikosa pa kuanzia

Wew Ni mkombozi wetu

Tupo pamoja wateja wote
 
Solidarity....!!
Aluta continua...

Haya Mabeberu ni ya kuhujumu kabisa Miundombinu yao..

Hayana huruma..
 
Kongole Kaka Mungu akubariki
 
Ikifika muda wa kuchangisha pesa,nistue bwana mdogo,hili suala ni la maslahi mapana ya wengi,ngawira zitatumika kukunyamazisha,na sisi tutakuback up ili washindwe na kulegea
 

Ushauri: kuna wizi mwengine unafanywa na makampuni ya simu nakuomba uliongeze liwe ni shitaka la 6

6. Upo wizi unaoendelea ulianzishwa miaka ya hivi karibuni kuwa ili upate gharama nafuu lazima ujiunge kifurushi. Sasa wizi unafanywa kwa wale waliojisahau kujiunga.

By default mtu anapoweka vocha ktk simu yake maana yake huwa anataka kuongea na watu wake kwa mtandao wowote.

Marekebisho wanayopaswa kufanya ili wizi huu uziendelee iwe kujiunga na kifurishi cha mtandao mmoja iwe optional mtu mwenyewe ajiunge, Bali unapoacha kujiunga manake iwe by default utaweza kupiga mtandao wwt sawa na kifurushi cha ( xxxx kwenda mitamdao yote). xxxx inawakilisha kampuni ya simu.

Nasema hili kwa sababu Nina ushahidi nalo, mama yangu ambae ni mtu mzima akinunua vocha na akakosa kijana wa kumuunga inakula kwake.

Ni kwanini asiyejiunga iwe ni kosa kwake kwa kuchajiwa gharama mara tatu zaidi. Yaani vocha ya 1000 unaweza tumia DKK zisizozidi 3 halafu unaambiwa kichurushi chako kimeisha kwa kuwa hukujiunga.

Huu ni wizi wa mchana kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…