Kikao changu na makampuni ya simu kuhusu kesi ya kuibiwa vifurushi

Kuna kipindi tigo tz walikuja na idea ya halichachi, nadhani walikosa sapoti wakaachana nayo.
Kwenye Halotel nimekutana na sms ikinitaarifu kifurushi cha data ku expire kesho.

Pia wana kifurushi cha Super Halo ambacho hakina kikomo hadi kiishe, lakini ni ghali kuliko vifurushi vya 'kufa'.
 
Safi
 
Ongezea na la 7.
Kuna vihuduma vya kijingajinga huwa muda mwingine wanawaunganishia wateja bila hiyari yake mfano eti sms za mahaba,sijui caller tune huku unakatwa hela.Mimi ishawahi nitokea siku nimeweka vocha ya elfu 2 wahuni voda wakasepa nayo juu kwa juu,nikasema labda nilisahau kujiunga kifurushi nikatumia airtime,mara ya 2 ikawa hivyohivyo,mara ya 3 ndo nikashituka kuwa napigwa hapa ikabidi niwarukie kwa hewa kupata ufafanuzi mara anaanza kusema hooo nilijiunga sijui na huduma gani kila siku nakatwa hela,aisee tangu nianze kuongea na huduma kwa wateja sijawahi mbadilikia kama yule mtoa huduma maana kilichofuata hapo ni siri yangu.Hatimaye wakanitoa na hawajawahi kuniunga tena.
 
Jamaa wa mitandao wapo sahihi kusema watu hawana uelewa na matumizi katika hili.
 
Nimeona siku kuwa ndefu sana, but kwa niaba ya watanzania niliwapa taarifa hii walifurahi na kukuunga mkono na wamesema wapo pamoja na wewe ndg Yakub.
 
Sura ya Baba Wa Taifa inajitokeza, jiulize viongozi hawalijui hili?

" viongozi Wa umma wasiwe na hisa kwenye Makampuni"


Baba Wa Taifa kwenye Azimio la Arusha aliliona hili. Niko pamoja nawe mkuu
 
Hata Tanesco wakituzia unit za umeme tunatumia mpaka unit ziishe ndio umeme unakata.Iweje wao watunyonye hivi?.
 
Big up mkuu kwa kupambana na hizi "hujuma"
 
Leta fomu nitie sahihi haraka sana, hizi ndio akili zinatakiwa nchi hii

Ajabu wanaojiita wana akili kubwa kazi yao ni kukosoa serikali na kupanua vidole

Hayo tu ndio wanayoweza
 
Walikuita wakuone. Wanakuandalia mshiko.
 
Hongera wakiri msomi, tungekuwa na mawakiri km wewe watanzania tungepunguza wizi kwa kiasi kikubwa badara ya mawakiri kuwa wapigaji wa wateja wao unapowafuata, tafuta jimbo uje uwe waziri wa ujenzi mawasiliano na uchukuzi mkuru kaisoma hyo
 
Mh. Kunakitu umenigusa, umesema kesi itaenderea wakitimiza utafuta kesi, naomba kuuliza mdaiwa akikubari kulipa madai yaliyoamriwa mahakama kuu harafu akalipa sehem nazinhine akasema amekata kodi yaserikari na nssf fund lakini nssf fund hakuoereka , mda huo kesi hatujaondoa mahakama yarufaa je naweza nisiiiondoe kesi kwa kigezo hicho?
 
Safi sana Mkuu! Umepita mule mule! Hawajasema kitu kuhusu kuhamisha kifurushi? Mfano nataka kumpunguzia kifurushi mama watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…