Hakuna cha wivu hapa! Kikubwa ni kuwa wakristo mmeshindwa kuleta noja za msingi za kuutetea huo ubaba wa taifawa mchonga. Bado sijaona hoja za msingi za kumwita Nyerere kuwa baba wa taifa.
Kwa style hizi za kumwangalia mtu kwa jina la dhehebu ndo tumjadili kamwe hatutakaa tueshimiane wakristo na waislam.,hoja hap si nyerere bali ni iman ya nyerere..HAHAHAAAAAA SMALL MIND BHANA..Hata namimi nashangaa ni nani kampa yule mzee u baba wa taifa,hii nchi ina vioja sana kwa kwelii,,
Sasa mama wa taifa ndiye yule Maria nyerere au??
Kaazi kweli kweli..
Weka hisia pembeni!Nyerere ataendelea kuwa Baba wa Taifa.......! Muungano ukivunjika Zanzibar nao watangaze Baba yao wa Taifa!
acha watu watoe maoni yao usiwaite bogus maana kutakuwa na kujibizana na hivo bogas halisi haajulikana bali nyie wote.Hapa inaonesha ni jinsi gani watu wa JF walivyo mabogus katika kujibu hoja.Namshukuru CEMENT kwa kujitahidi kupanga hoja za msingi! Lakini kati ya wale wote walio comment hapojuu kumuondoa cement ni mabogus na hawafai kuwa GTs bali hao ni GSs.
hii ndiyo sababu ya kuitwa baba wa Taifa!Nyerere alianza kuitwa baba muda mrefu sana hata kabla ya uhuru. Wakati fulani alirudi kutoka UNO wananchi wa dar wakawa wanasema "BABA KABWELA UNO" wakiwa na maana baba karudi toka UNO. basi mti mwema hujulikana kwa matunda yake kadiri maisha yalivyoendelea na hadi alipostaafu hilo jina la baba wa taifa lilimfaa zaidi kuliko rais mstaafu kwa heshima hiyo hadi leo twamwita baba wa taifa.
Hakuna cha wivu hapa! Kikubwa ni kuwa wakristo mmeshindwa kuleta noja za msingi za kuutetea huo ubaba wa taifawa mchonga. Bado sijaona hoja za msingi za kumwita Nyerere kuwa baba wa taifa.
hii ndiyo sababu ya kuitwa baba wa Taifa!
Una rejeo lolote kuhusu "wananchi wa Dar" kumuita nyerere baba?
unaposema Wakristo una maana ndiyo wanakuambia kuwa Nyerere ni Baba wa taifa ama una maana gani ingineHakuna cha wivu hapa! Kikubwa ni kuwa wakristo mmeshindwa kuleta noja za msingi za kuutetea huo ubaba wa taifawa mchonga. Bado sijaona hoja za msingi za kumwita Nyerere kuwa baba wa taifa.
Mbona tuliishapita huko?!Kwani baba maana yake nini?labda tuanzie hapo.
Kikao gani kilikaa mpaka baba yako akaamua kukuzaa kichwa maji kama wewe??
Hii hoja umeibua ni nzito lakini kimsingi hata mataifa mengine kiongozi mkuu wa nchi hasa Rais wa kwanza wengi huamua kumpa heshima hy like marekani George washngton na kwingineko hvy kwa kigezo hicho hata Tanzania tukaamua kumpa Mwl Nyerere heshima hy si mbaya na wala haina tija yoyote!na ni kweli alichukia kuchanganya dini na siasa plus ukabila na ndivyo vitu vivyavyopelekea mataifa mengi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe alitambua hilo lakini pamoja na mapungufu yaliyojitokeza katika uongozi wake si vyema kumdhihaki au kejeli Tumpe heshima yake coz viongozi wengi sana wa nchi hii wamesoma kupitia maarifa yake aliyoyaweka kwa sababu wengi wetu hatukuwa na uono huo mwisho wa siku Mwl Nyerer atabaki kuwa Baba wa Taifa.
Naam, ndiyo sababu hata wewe ukiiona ndogo! sababu ndogo tu yaweza kuzua jambo kuu! unataka rejeo gani zaidi. taifa hili lilipata uhuru akiwa kiongozi mkuu kama baba! Lugha hukua na watu. pale wanapomheshimu humpa mtu jina zuri kwenye upungufu jina haliwi zuri. mfano wakati fulani walimwitaa Nyerere mchonga meno wakati huo hali ya maisha ilikuwa mbaya na yeye alikuwa mtawala. sijui wewe unataka mjadala ili asiitwe baba wa taifa! kwa sasa hilo haliwezekani hadi historia yake itakapoelezwa vinginevyo na watu wajue hivo wakatae. kupinda ukweli huu ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. bora kuleta mjadala tofautihii ndiyo sababu ya kuitwa baba wa Taifa!
Una rejeo lolote kuhusu "wananchi wa Dar" kumuita nyerere baba?
funguka zaidi!unataka rejeo gani zaidi. taifa hili lilipata uhuru akiwa kiongozi mkuu kama baba! Lugha hukua na watu.
Weka hisia pembeni!
Tunajadiliana kutaka kujua ni sababu au vigezo vipi vinavyomfanya nyerere aitwe baba wa Taifa.
Je,una sababu zozote (ukiachilia zilizotajwa) za kumuita nyerere baba wa Taifa?
Kwa hiyo ni baba wa Taifa la Tanganyika (sijui kama hii nchi bado ipo)! maanake ukiitaja Tanzania tu utakuwa umeshaiingiza Zanzibar ambayo ilikuwa na rais wake hivyo kumfanya nyerere si muasisi pekee.Ok! Sababu kuu ya nyerere kuwa baba wa Taifa la Tanzania kwa mawazo yangu ni kwamba, Ndiye Rais wa kwanza wa Tanganyika huru na baadaye akawa rais wa kwanza wa JMT,
Udini uliopo nchini umeasisiwa na nyerere (hili limeshajadiliwa sana hapa)Ni sehemu gani ya Tanganyika ambayo nyerere aliikuta katika ubaguzi wa kikabila na kuufuta?
Kusema kuwa nyerere amefuta ubaguzi wa kikabila,ameleta amani Tanganyika ni kuwadharau na kuwakejeli mababu zetu ambao walikuwa wakiishi bila ya vita na ubaguzi wa kikabila kabla hata wahamiaji kama wazazi wa nyerere hawajahamia katika nchi hii.Orodha ya ufisadi wakati wa nyerere ni ndefu! unazitaja Epa,richmond n.k kutokana na Dunia ya leo (ya uwazi),lakini yote haya yalifanyika wakati wa nyerere...inakutosha tu kuwa mafisadi tulio nao ni product ya nyerere.
...Kwa mara nyingine tena tunaona hoja za nyerere kuwa baba wa Taifa zikifeli!
Weka hisia pembeni!
Tunajadiliana kutaka kujua ni sababu au vigezo vipi vinavyomfanya nyerere aitwe baba wa Taifa.
Je,una sababu zozote (ukiachilia zilizotajwa) za kumuita nyerere baba wa Taifa?