Kikao gani kiliamua Nyerere awe 'Baba wa Taifa'?

Kikao gani kiliamua Nyerere awe 'Baba wa Taifa'?

Kikao gani cha serikali na chama walikaa na kuamua kumwita Mwl.Nyerere kuwa aitwe baba wa taifa? Kikao hicho kilifanyika wapi na tarehe ngapi? Tangazo la jina hilo lilitolewa na nani na katika chombo kipi halali cha serikali?
Kuna wakati mbunge mmoja simkumbuki jina alisema"kwakuwa Nyerere anaingia kwenye mchakato wa utakatifu basi heshima ya ubaba wa taifa apewe mh.Mkapa!" akaongeza "kwakuwa utawala wa Mkapa ulikuwa mzuri basi napendekeza bunge liridhie tubadili katiba ili mkapa agombee tena ili aweze kutawala kwa miaka 10 mingine?".

Mytake:
Huu ni mlolongo wa sintofahamu ndani ya Tanzania ambazo zimepaliliwa tangu enzi! Kwani Nyerere alilifanyia nini kanisa katoliki hadi limpe hadhi ya utakatifu wakati yeye mwenyewe alidai ni haramu/dhambi kuchanganya dini na siasa?

Naomba tujadili hoja hii nyeti kwa ueledi nasio matusi na kejeli.

Hebu tueleze, ni kikao kipi kilichokaa kuamua aliyekuzaa aitwe baba yako hadi na wewe ukakubali kumwita hivyo? Acha chuki isiyo na maana kwani kuitwa kwake hivyo hakukuongezei wala kukupunguzia chochote! Unaweza mwita utakavyo lakini historia itabaki kumtaja hivyo sawa kama baba yako anavyotambulika hivyo bila ushahidi wa vinasaba (DNA).
 
Naomba kwa mtu anayejua hiki cheo cha baba wa taifa alichopewa nyerere kiliidhinishwa wapi na kwa sheria ipi.Kulikuwa na mjadala wowote wakati huo anapewa hilo jina au alipewa tu kiholela na kienyeji bila ridhaa ya wananchi wake?Je hili jina liko kikatiba au mtu tu alikurupuka na kuidhinisha jina hilo

Jina lipi la thamani linalomfaa Nyerere,ni Baba wa Taifa au mzee wetu Nyerere?

Nadhani kuna haja ya kulipigia kura jina hili kuona uhalali wake kama watanzania wnaridhia Nyerere aitwa Baba wa taifa au la.Pia kwenye mchakato wa katiba mpya ibainishwe waziwazi uwepo wa cheo hicho kuliko linavyotumiwa sasa.
 
Nilipata kuambiwa ukivuta bangi mara moja effect yake haiishi hadi miaka saba hata kama umeacha.....
Sasa kama umevuta mara nyingi madhara yake ni zaidi ya hapo.

Kwa kusema hivyo simaanishi KichwaMbovu ni victim......naomba apewe majibu!

No wonder JK hajapata sikika akimwita Baba wa Taifa....
 
Last edited by a moderator:
hahaha la kuchinja hawajamaliza wanavamia la Nyerere, haya peleka kwenye anuur kwa simple minds huko
 
Wewe ni kikao gani kilikaa kukuita kichwa mbovu? Hivi haya magamba yana akili timamu?
 
Nenda google halafu tafuta "Nyerere Baba wa Taifa" utakuta mijadala chungu mzima juu ya somo husika, tena tumejadili sana hapa JF.
Wajumbe wapya wa hapa jukwaani ni vema mjifunze kwenda masijala ya JF kutafuta vitu kabla ya kukurupuka tu.

Kuna vitu vingi wakati mwingine inapendeza unasoma hata sred za zamani unapata maarifa mengi.

Mods mpeni link ya Mchambuzi ambapo alijadili dhana ya ubaba wa taifa kwa dunia nzima nadhani itamsaidia sana kama kweli analengo la kujifunza na kuelewa!
 
Tuendako tutafika tu.... lakin kwa kuchoka sanaaaaaaa.
 
Naomba kwa mtu anayejua hiki cheo cha baba wa taifa alichopewa nyerere kiliidhinishwa wapi na kwa sheria ipi.Kulikuwa na mjadala wowote wakati huo anapewa hilo jina au alipewa tu kiholela na kienyeji bila ridhaa ya wananchi wake?Je hili jina liko kikatiba au mtu tu alikurupuka na kuidhinisha jina hilo

Jina lipi la thamani linalomfaa Nyerere,ni Baba wa Taifa au mzee wetu Nyerere
Nadhani kuna haja ya kulipigia kura jina hili kuona uhalali wake kama watanzania wnaridhia Nyerere aitwa Baba wa taifa au la.Pia kwenye mchakato wa katiba mpya ibainishwe waziwazi uwepo wa cheo hicho kuliko linavyotumiwa sasa.

We nadhani utakuwa na upungufu wa maarifa
 
Kila kitu ukitaka kiwekwe kwenye katiba si itakua vurumai?mimi pia kumuoa mama Glory naomba liingizwe ktk katiba mpya,nashukuru Mungu maoni yangu haya nimeshayafikisha kwenye tume ya mzee Warioba.
 
Hii ni Sheria ya Historia, takribani nchi nyingi ambazo mwasisi (Rais wa Kwanza) ndo huwa wanatambulika kama Baba wa Taifa! Hakuna mambo ya vikao hapa, hii ilikuja tu mzee, kama hutaki kajinyonge, punguzeni wivu!
Tanzania ni nchi ambayo imepatikana baada ya Muungano wa nchi mbili tofauti.

Katika Muungano wa nchi mbili haiwezekani kukapatikana muasisi mmoja tu! aidha sijasikia nchi yoyote duniani ikiwa na mababa wawili wa Taifa.


Kiufupi tu ni kuwa hili jina/cheo/hadhi ifutwe, ni kosa lilofanyika mwanzo inabidi lirekebishwe sasa.
 
Hii ni Sheria ya Historia, takribani nchi nyingi ambazo mwasisi (Rais wa Kwanza) ndo huwa wanatambulika kama Baba wa Taifa! Hakuna mambo ya vikao hapa, hii ilikuja tu mzee, kama hutaki kajinyonge, punguzeni wivu!
mleta post ana logic
 
Tanzania ni nchi ambayo
imepatikana baada ya Muungano wa nchi mbili tofauti.

Katika Muungano wa nchi mbili haiwezekani kukapatikana muasisi mmoja tu!
aidha sijasikia nchi yoyote duniani ikiwa na mababa wawili wa Taifa.


Kiufupi tu ni kuwa hili jina/cheo/hadhi ifutwe, ni kosa lilofanyika
mwanzo inabidi lirekebishwe sasa.

Toa mawazo zaidi mkuu,naanza kukupata kiaina,ulitaka marekebisho yapi yafanyike ktk hilo,inawezekana una mchango mzuri ktk hili
 
mleta post ana logic

Is logic ever wrong?
Check hapa mkuu, AskPhilosophers.org

Let's try a related question: is physics ever wrong?

The answer is pretty clearly yes in one sense. Physicists can be wrong. And if enough physicists are wrong about the answer to some physics question, then Physics as a discipline is wrong. It's happened before and will no doubt happen again. Nonetheless, it's perfectly natural to say things like "I wonder if we really have the physics of black holes right." When we talk that way, we use the word "physics" to mean "the principles that provide the true descriptions of physical systems." Those principles, of course, can't be wrong because the right principles, whatever they may be, aren't wrong.

Same goes for logic. There are logicians. They can make mistakes. And there is a discipline of Logic. It could end up in some collective error about something or other. But there's lots of room for the other sort of usage. Someone might insist that logic dictates a certain conclusion when in fact the conclusion doesn't really follow from the premises. It might not really follow even if we were all under the illusion that it does. If by "logic" we mean, more or less, the correct principles of inference correctly applied then logic in that sense can't be wrong for the trivial reason that we're using the term to mean the principles and inferences that are right whether we know it or not.

Though this sense makes sense both for logic and for physics, it strikes my ear that it's a bit more natural in the logic case, perhaps because we think of the correct logical principles as having a kind of Eternal Truth that nothing else except pure mathematics can aspire to.

Be that as it may, even if we agree that there's a sense of the world "logic" in which logic can't be wrong, there's not much mileage to be gotten from that. Logic may not lie, but liars and lunkheads have been known to cry "Logic!
 
Mwache mzee wa watu apumzike kwa amani. Amelifanyia taifa makuu hata nafasi ya baba wa taifa haitoshi. Kama si yeye ungeshauzwa kama madini na gesi
 
Back
Top Bottom