Kikao gani kiliamua Nyerere awe 'Baba wa Taifa'?

Kikao gani cha serikali na chama walikaa na kuamua kumwita Mwl.Nyerere kuwa aitwe baba wa taifa? Kikao hicho kilifanyika wapi na tarehe ngapi? Tangazo la jina hilo lilitolewa na nani na katika chombo kipi halali cha serikali?
Kuna wakati mbunge mmoja simkumbuki jina alisema"kwakuwa Nyerere anaingia kwenye mchakato wa utakatifu basi heshima ya ubaba wa taifa apewe mh.Mkapa!" akaongeza "kwakuwa utawala wa Mkapa ulikuwa mzuri basi napendekeza bunge liridhie tubadili katiba ili mkapa agombee tena ili aweze kutawala kwa miaka 10 mingine?".

Mytake:
Huu ni mlolongo wa sintofahamu ndani ya Tanzania ambazo zimepaliliwa tangu enzi! Kwani Nyerere alilifanyia nini kanisa katoliki hadi limpe hadhi ya utakatifu wakati yeye mwenyewe alidai ni haramu/dhambi kuchanganya dini na siasa?

Naomba tujadili hoja hii nyeti kwa ueledi nasio matusi na kejeli.

kwani ni kikao gani kiliamua kuchinja wapewe waislamu?
kwani mkapa kawafanyia nini waislamu mpaka mumpe ubaba wa taifa?
kaupize kwanza marekani au ndia walimpata vipi baba wao wa taifa
 
Mbona niliweka maoni yangu wazi tu kuwa hiki cheo kifutwe?

Sijawahi katika maisha yangu kusikia nchi ikiwa na mababa wa taifa wawili (kutokusikia mimi hakumaanishi kuwa hakuna).

MtamaMchungu akanitanabahisha kuwa inawezekana kwa nchi kuwa na mababa wawili wa taifa:
Father of the Nation is an honorific title given to a man considered the driving force behind the establishment of his country, state or nation. The term founding fathers may be used if more than one person is considered key.

Sasa kama wewe bado unashikilia msimamo wako kuwa nyerere ni baba wa taifa kwa vile ni muasisi wa nchi inayoitwa Tanzania basi ujue kuwa hakuwa muasisi pekee, hivyo utajikuta kuwa una mababa wawili wa taifa.

haya pendekeza nani wataka awe baba wa taifa?
je ni Mwinyi, karume au Jk?
mnawivu sana wana wa elimu madrasa
 
Hakuna cha wivu hapa! Kikubwa ni kuwa wakristo mmeshindwa kuleta noja za msingi za kuutetea huo ubaba wa taifawa mchonga. Bado sijaona hoja za msingi za kumwita Nyerere kuwa baba wa taifa.
 
Ni kikao chenu cha uamusho na ugaidi
Kikao gani cha serikali na chama walikaa na kuamua kumwita Mwl.Nyerere kuwa aitwe baba wa taifa? Kikao hicho kilifanyika wapi na tarehe ngapi? Tangazo la jina hilo lilitolewa na nani na katika chombo kipi halali cha serikali?
Kuna wakati mbunge mmoja simkumbuki jina alisema"kwakuwa Nyerere anaingia kwenye mchakato wa utakatifu basi heshima ya ubaba wa taifa apewe mh.Mkapa!" akaongeza "kwakuwa utawala wa Mkapa ulikuwa mzuri basi napendekeza bunge liridhie tubadili katiba ili mkapa agombee tena ili aweze kutawala kwa miaka 10 mingine?".

Mytake:
Huu ni mlolongo wa sintofahamu ndani ya Tanzania ambazo zimepaliliwa tangu enzi! Kwani Nyerere alilifanyia nini kanisa katoliki hadi limpe hadhi ya utakatifu wakati yeye mwenyewe alidai ni haramu/dhambi kuchanganya dini na siasa?

Naomba tujadili hoja hii nyeti kwa ueledi nasio matusi na kejeli.
 
Wivu wa kidini umekujaa ndo maana kila mara mnaendeleza vurugu zisizo na kichwa wala miguu. Elimu yenu ndogo ya madrasa ndo huwaponza
Kikao gani cha serikali na chama walikaa na kuamua kumwita Mwl.Nyerere kuwa aitwe baba wa taifa? Kikao hicho kilifanyika wapi na tarehe ngapi? Tangazo la jina hilo lilitolewa na nani na katika chombo kipi halali cha serikali?
Kuna wakati mbunge mmoja simkumbuki jina alisema"kwakuwa Nyerere anaingia kwenye mchakato wa utakatifu basi heshima ya ubaba wa taifa apewe mh.Mkapa!" akaongeza "kwakuwa utawala wa Mkapa ulikuwa mzuri basi napendekeza bunge liridhie tubadili katiba ili mkapa agombee tena ili aweze kutawala kwa miaka 10 mingine?".

Mytake:
Huu ni mlolongo wa sintofahamu ndani ya Tanzania ambazo zimepaliliwa tangu enzi! Kwani Nyerere alilifanyia nini kanisa katoliki hadi limpe hadhi ya utakatifu wakati yeye mwenyewe alidai ni haramu/dhambi kuchanganya dini na siasa?

Naomba tujadili hoja hii nyeti kwa ueledi nasio matusi na kejeli.
 
haya pendekeza nani wataka awe baba wa taifa?
je ni Mwinyi, karume au Jk?
mnawivu sana wana wa elimu madrasa

Sheikh Ponda au Farid wa Uamusho,au mfadhili wa Ugaidi Zanzibar Maalim Seif mmoja wao awe Baba wa Taifa!
 
Baba ni baba tu kwa asili. Kwani wewe na wadogo zoko na mama yako mlifanya lini kikao na kukubaliana kuhusu baba wa familia yenu?
 
unaweza kuwa umesoma lakini ukawa hujaelimika....
 
Unaweza ukawa unaona mbele ila huoni mbali. Mungu akusaidie uache hoja kinzani.
 
Hapa inaonesha ni jinsi gani watu wa JF walivyo mabogus katika kujibu hoja.Namshukuru CEMENT kwa kujitahidi kupanga hoja za msingi! Lakini kati ya wale wote walio comment hapojuu kumuondoa cement ni mabogus na hawafai kuwa GTs bali hao ni GSs.

Ulitegemea watu wajadili udini? Kuitwa baba wa Taifa hakuzuii yeye kuwa mtakatifu. Fahama kuwa pamoja na yeye kuwa mwanasiasa bado alikuwa na imani yake binafi. Na ni huko kwa waamini wenzie ndiko wanataka kumwita mtakatifu. Si busara kila kitu kuingiza na siasa. Siasa ina sehemu yake na dini ina sehemu yake. Kama unataka kujadili suala la kuitwa baba wa taifa lijadili peke yake, na suala la kujadili utakatifu lijadili peke yake.
 
Hata namimi nashangaa ni nani kampa yule mzee u baba wa taifa,hii nchi ina vioja sana kwa kwelii,,

Sasa mama wa taifa ndiye yule Maria nyerere au??

Kaazi kweli kweli..
 
Taratibu dogo acha kupiga mayowe bure hapa!!!!!!!!!!!!

Kabla haujajikamua vilivyo kuuliza hilo swali hapo chini kweli uliweza kujiridhisha kwamba maswali mengine yooote yajibiwa kabla ya hili uliloliuliza???????

Sasa ngoja nami nikuulize swali moja tu hapa; je NI KIKAO GANI ULICHOWAHI KUSIKIA KWAMBA KILIKETI NA KUKATAA MWALIMU NYERERE
ASIITWE 'BABA WA TAIFA'?

Kikao gani cha serikali na chama walikaa na kuamua kumwita Mwl.Nyerere kuwa aitwe baba wa taifa? Kikao hicho kilifanyika wapi na tarehe ngapi? Tangazo la jina hilo lilitolewa na nani na katika chombo kipi halali cha serikali?
Kuna wakati mbunge mmoja simkumbuki jina alisema"kwakuwa Nyerere anaingia kwenye mchakato wa utakatifu basi heshima ya ubaba wa taifa apewe mh.Mkapa!" akaongeza "kwakuwa utawala wa Mkapa ulikuwa mzuri basi napendekeza bunge liridhie tubadili katiba ili mkapa agombee tena ili aweze kutawala kwa miaka 10 mingine?".

Mytake:
Huu ni mlolongo wa sintofahamu ndani ya Tanzania ambazo zimepaliliwa tangu enzi! Kwani Nyerere alilifanyia nini kanisa katoliki hadi limpe hadhi ya utakatifu wakati yeye mwenyewe alidai ni haramu/dhambi kuchanganya dini na siasa?

Naomba tujadili hoja hii nyeti kwa ueledi nasio matusi na kejeli.
 
Kwa ufahamu wangu mdogo kuhusiana na Baba wa taifa nikuwa aliamua kurudi Butiama baada yakumaliza utumishi wa umma.Alipokuwa butiama moja ya shughuli aliyofanya pa1 na heshima aliyokuwa nayo katika taifa alijelekeza katika kuwafundisha watoto wa Kikatoliki Katekisimu (ambayo wewe huijui kwakuwa si ya imani yako),hivyo alikuwa Katekista.Alikuwa mfano kwa jamii kama mkulima,mnyenyekevu na kubwa nikuwakomboa watanzania katikamikono ya wakoloni.Kanisa linachunguza mema yote aliyofanya Baba wa taifa likijiridhisha atakuwa mtakatifu si kwa kura wala kwa kikao cha wananchi wala bunge wala wanaomwita mzee Nyerere.
 
JIBU ILI HAPA:
1>soma Biblia Takatifu,
Mithali 8:16 {viongozi utawala kwa msaada wa Mungu}
kwahiyo siasa ipo kwa msaada wa Mungu.
2>kuhusu ubaba wa Taifa:
soma Warumi 13:7 {Wapeni wote haki zao,mtu wa kodi kodi',....,MTU WA HESHIMA,HESHIMA.}
Heshima yake nikwamba hakuna aliyefanya mambo mazur kama yeye kwa waliomtangulia na waliotawala baada yake, hakuleta udini kama uliopo saiz,bali alitokomeza udin,ukabila na ubaguz wowote wa kijinga tofaut na viongoz wetu wasasa wanaofumbia macho ujinga unaotokea sasa,
ktk kipind chake hakukuwa na ufisadi wa Epa,Richmond,Rada, Kiwira coal mine,n.k.
Haitosh tu!???
 
Hata namimi nashangaa ni nani kampa yule mzee u baba wa taifa,hii nchi ina vioja sana kwa kwelii,,

Sasa mama wa taifa ndiye yule Maria nyerere au??

Kaazi kweli kweli..

Shangaa zaidi ni nani na ni kikao kipi kilichoamua baba na mama yako waitwe "Wazazi " wako. Hulazimishwi kumwita baba wa Taifa na unaweza mwita upendavyo Ila waache kwenye kutaka kumwita hivyo wafanye wafanye hivyo. bila bughudha.
 
Heshima yake nikwamba hakuna aliyefanya mambo mazur kama yeye kwa waliomtangulia na waliotawala baada yake, hakuleta udini kama uliopo saiz,
Udini uliopo nchini umeasisiwa na nyerere (hili limeshajadiliwa sana hapa)
T.Mwambungu said:
bali alitokomeza udin,ukabila na ubaguz wowote wa kijinga
Ni sehemu gani ya Tanganyika ambayo nyerere aliikuta katika ubaguzi wa kikabila na kuufuta?

Kusema kuwa nyerere amefuta ubaguzi wa kikabila,ameleta amani Tanganyika ni kuwadharau na kuwakejeli mababu zetu ambao walikuwa wakiishi bila ya vita na ubaguzi wa kikabila kabla hata wahamiaji kama wazazi wa nyerere hawajahamia katika nchi hii.
T.Mambungu said:
ktk kipind chake hakukuwa na ufisadi wa Epa,Richmond,Rada, Kiwira coal mine,n.k.
Haitosh tu!???
Orodha ya ufisadi wakati wa nyerere ni ndefu! unazitaja Epa,richmond n.k kutokana na Dunia ya leo (ya uwazi),lakini yote haya yalifanyika wakati wa nyerere...inakutosha tu kuwa mafisadi tulio nao ni product ya nyerere.

...Kwa mara nyingine tena tunaona hoja za nyerere kuwa baba wa Taifa zikifeli!
 
Back
Top Bottom