Kikao hiki ajenda ilikuwa ni nini? Moja ya picha halisi za mkakati

Kikao hiki ajenda ilikuwa ni nini? Moja ya picha halisi za mkakati

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?

Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?

Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
IMG_1744.jpeg
 
Hili lilikuwani tukio gani?
Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?

Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?

Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi?

Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
Ni kikao Cha kumdhibiti Hayati Lowwassa aliyeonekana kuwa tishio.
 
Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?

Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?

Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
Huyu mwenye wanamsikiliza aliyetupa mgongo ni nani?
 
Kwanza huyo mwenye Nvi ni nani aliyekaa kwenye kiti maana naona kama ndo muongoza kikao...
Kwa hakika nami ningependa kujuwa huyo mwenye kichwa cheupe kama unga ni nani.

Tukianzia hapo mengine yatajiweka mahala pake sawia.

Halafu ni kama hiki kikao kilifanyika porini; au kwenye shamba la mizabibu! Kwa nini?

Hivi Mwakyembe kilimtokea nini?
 
Kwa hakika nami ningependa kujuwa huyo mwenye kichwa cheupe kama unga ni nani. Tukianzia hapo mengine yatajiweka mahala pake sawia....
Mzila Nkende naona aliona hawatawezena kwa speed ya bwana yule hvyo akamla kichwa kwenye kura za maoni.
 
Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?

Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?

Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
Jaji Warioba alikiwa anawafunda kuhusu mikakati ya bahari na ukiukwaji wake wa kufyonza maji ya mito.
 
Mzila Nkende naona aliona hawatawezena kwa speed ya bwana yule hvyo akamla kichwa kwenye kura za maoni.
AAAaalaaaa, Kumbee!

Sasa hapo ndipo ujue ukilaza wa wasomi, au wanaojigamba kuwa wasomi wa Tanzania ulipo!

Baada ya kukatwa jina ndiyo ikawa kama kaaga dunia, maana hakuna lolote analoweza nje ya utapeli wa kisiasa?

Hata kuandika makala tu magazetini, au kitabu hawezi? Kanyamaza kama mfu?
 
Kwa hakika nami ningependa kujuwa huyo mwenye kichwa cheupe kama unga ni nani. ?
Hapana, huyo ni Mh. James Lembeli (Mbunge wa zamani wa Kahama).

Na ilikuwa kipind wakati wa Bunge la Katiba, ndo mana wamuona mpk Makonda.
 
Kwanza huyo mwenye Nvi ni nani aliyekaa kwenye kiti maana naona kama ndo muongoza kikao? Madilu, olesendeka,Makonda, Mpina, Nape cjui January alikuwa wapi?
ℕ𝕚 𝕛𝕒𝕞𝕖𝕤 𝕝𝕖𝕞𝕓𝕖𝕝𝕚
 
Kwanza huyo mwenye Nvi ni nani aliyekaa kwenye kiti maana naona kama ndo muongoza kikao? Madilu, olesendeka,Makonda, Mpina, Nape cjui January alikuwa wapi?
Lembeli huyo aliekuwa mbunge wa kahama
 
Back
Top Bottom