Kikao hiki ajenda ilikuwa ni nini? Moja ya picha halisi za mkakati

Kikao hiki ajenda ilikuwa ni nini? Moja ya picha halisi za mkakati

Kwa hakika nami ningependa kujuwa huyo mwenye kichwa cheupe kama unga ni nani.

Tukianzia hapo mengine yatajiweka mahala pake sawia.

Halafu ni kama hiki kikao kilifanyika porini; au kwenye shamba la mizabibu! Kwa nini?

Hivi Mwakyembe kilimtokea nini?
Lembeli aliyekuwa mbunge wa kahama
 
Ilikua ni zile kamati ndogondogo za wabunge wa bunge la katiba
 
Huyo mwenye komwe ni nani?
Hapo itakuwa msibani zinapigwa stori za uongo na ukweli
 
Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?

Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?

Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
walikuwa msibani
 
Mwakyembe, Makonda na Nape walikuwa mamluki
 
Back
Top Bottom