Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Ni kikao Cha kumdhibiti Hayati Lowwassa aliyeonekana kuwa tishio.Hili lilikuwani tukio gani?
Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?
Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?
Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi?
Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
Mzee Seleli bila shaka.Kwanza huyo mwenye Nvi ni nani aliyekaa kwenye kiti maana naona kama ndo muongoza kikao? Madilu, olesendeka,Makonda, Mpina, Nape cjui January alikuwa wapi?
Huyu mwenye wanamsikiliza aliyetupa mgongo ni nani?Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?
Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?
Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
Kwa hakika nami ningependa kujuwa huyo mwenye kichwa cheupe kama unga ni nani.Kwanza huyo mwenye Nvi ni nani aliyekaa kwenye kiti maana naona kama ndo muongoza kikao...
Itakua yeye.Mzee Seleli bila shaka.
Mzila Nkende naona aliona hawatawezena kwa speed ya bwana yule hvyo akamla kichwa kwenye kura za maoni.Kwa hakika nami ningependa kujuwa huyo mwenye kichwa cheupe kama unga ni nani. Tukianzia hapo mengine yatajiweka mahala pake sawia....
Jaji Warioba alikiwa anawafunda kuhusu mikakati ya bahari na ukiukwaji wake wa kufyonza maji ya mito.Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?
Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?
Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
AAAaalaaaa, Kumbee!Mzila Nkende naona aliona hawatawezena kwa speed ya bwana yule hvyo akamla kichwa kwenye kura za maoni.
Hapana, huyo ni Mh. James Lembeli (Mbunge wa zamani wa Kahama)..! Na ilikuwa kipind wakati wa Bunge la Katiba, ndo mana wamuona mpk Makonda.Mzee Seleli bila shaka.
Hapana, huyo ni Mh. James Lembeli (Mbunge wa zamani wa Kahama)..! Na ilikuwa kipind wakati wa Bunge la Katiba, ndo mana wamuona mpk Makonda.Jaji Warioba alikiwa anawafunda kuhusu mikakati ya bahari na ukiukwaji wake wa kufyonza maji ya mito.
Hapana, huyo ni Mh. James Lembeli (Mbunge wa zamani wa Kahama)..! Na ilikuwa kipind wakati wa Bunge la Katiba, ndo mana wamuona mpk Makonda.Itakua yeye.
Hapana, huyo ni Mh. James Lembeli (Mbunge wa zamani wa Kahama).Kwa hakika nami ningependa kujuwa huyo mwenye kichwa cheupe kama unga ni nani. ?
βπ πππππ€ πππππππKwanza huyo mwenye Nvi ni nani aliyekaa kwenye kiti maana naona kama ndo muongoza kikao? Madilu, olesendeka,Makonda, Mpina, Nape cjui January alikuwa wapi?
Lembeli huyo aliekuwa mbunge wa kahamaKwanza huyo mwenye Nvi ni nani aliyekaa kwenye kiti maana naona kama ndo muongoza kikao? Madilu, olesendeka,Makonda, Mpina, Nape cjui January alikuwa wapi?