Lembeli aliyekuwa mbunge wa kahamaKwa hakika nami ningependa kujuwa huyo mwenye kichwa cheupe kama unga ni nani.
Tukianzia hapo mengine yatajiweka mahala pake sawia.
Halafu ni kama hiki kikao kilifanyika porini; au kwenye shamba la mizabibu! Kwa nini?
Hivi Mwakyembe kilimtokea nini?
Lembeli aliyekuwa mbunge wa kahamaHuyu mwenye wanamsikiliza aliyetupa mgongo ni nani?
Mzee akapewa na kiti kabisa au ndo alikuwa na nafasi ya makonda kipindi cha mwendazake.Lembeli huyo aliekuwa mbunge wa kahama
walikuwa msibaniHili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?
Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?
Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
Huyo ni James LembeliKwanza huyo mwenye Nvi ni nani aliyekaa kwenye kiti maana naona kama ndo muongoza kikao? Madilu, olesendeka,Makonda, Mpina, Nape cjui January alikuwa wapi?
Kutengeneza pia,mahasimu ya Richmond🆗Picha ya kitambo sana
😂🤣😂Mzila Nkende naona aliona hawatawezena kwa speed ya bwana yule hvyo akamla kichwa kwenye kura za maoni.
Mzee Warioba!Huyo aliewekwa mtu kati kicheaman ni nani?
Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?
Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?
Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?