kwa jina la jmt, mnasalimiwa mno!
Kwenye mada:
Jamani ni mbinu gani, ni namna gani, ni kivipi naweza kumtokea huyu mwanadada ambaye ni bosi wangu wa kati?!!! Nimejikuta namuelewa mno, ananivutia haswaa!
● Mkali na ukali wake wageuka kivutio kwangu kiajabu kabisa. Anagoma kweli pale kazi inapokwama, iwe kidogo au sana. Nimejikuta napenda mpaka ukali wake,.....wakati ananigomea kwa kutotenda vema kazi nakuwa katika dilemma; sipendi kuharibu kazi na wakati huo huo napenda kumsikia na kumuona akigoma.
● Mjasiriamali mzuri,
● Very serious na chap katika kazi n.k
Naombeni mbinu wadau maana hali imefikia hatua mbaya, jicho langu limekuwa halibanduki kwake katika vikao mpaka nahisi atakuja kunistukia.
Karibuni!