Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakunaga mwanamke mgumu kwa mwanaume, hata angekua kiongozi mkubwa vipi, nje ya kazi/ubosi wake, yeye pia ni MTU, ana HISIA kama wengine tu. Nchi fulani hivi, mawaziri wa kike wanaliwa na madereva wao, hiyo imekaaje?Maisha bila kazi ni magumu Sana,Usisaliti future yako kisa hisia za mda mfupi, mwanaume kuendeshwa na hisia ni udhaifu mkubwa mno,watoto wako,ndugu zako watateseka kwa sababu ya hisia zako za kipuuzi.
Mara Mia Bora huyo mwanamke angekupenda mwenyewe,sio uanze wewe,ingawa na yenyewe ilibidi ukatae,hakuna kazi na mapenzi vikawahi kudum kamwe.
Ushauri wangu puuzia huo ujinga unao uwaza,chapa kazi uisaidie jamii yako,maisha sio masiara.
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app