Kikao wapi jamani... mbona kimya mwenyekiti vipi

Wapendwa baadae..

Love The Finance the only
Bigrita, GY, MJ1, Athipilini, Rose
RR, Askofu, and others tutaonana kwa kikao baadae
 
Naomba usisahau kuni😛hone:😛hone:😛hone:
 
Kwa kawaida huwa tunakutana katika vikao kama wataka mpe the finest namba yako kwa PM then atakujulisha zaidi

huyu ni mkwe wangu labda kama kuna assistant wake ..nambie Mama Big
 
Mhh nipo bana angalia vizuri kuna mama yupo busy na simu mezani nakunywa Vice roy:smile-big:
Nimekuona duh!!mwambi huyo dada mweupe akulete mchemsho!!mimi nacheza kidogo pool!!au wakuletee nyingine??kama ndiyo kaambie hako kaka kashoga kakuletee bili kwangu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…