Kikao wapi jamani... mbona kimya mwenyekiti vipi

Kikao wapi jamani... mbona kimya mwenyekiti vipi

Wapendwa baadae..

Love The Finance the only
Bigrita, GY, MJ1, Athipilini, Rose
RR, Askofu, and others tutaonana kwa kikao baadae
 
Mhh nipo bana angalia vizuri kuna mama yupo busy na simu mezani nakunywa Vice roy:smile-big:
Nimekuona duh!!mwambi huyo dada mweupe akulete mchemsho!!mimi nacheza kidogo pool!!au wakuletee nyingine??kama ndiyo kaambie hako kaka kashoga kakuletee bili kwangu!!
 
Back
Top Bottom