Kikaptula Alichovaa Michelle Obama

Kikaptula Alichovaa Michelle Obama

Rugas

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Posts
1,048
Reaction score
197
Kikaptula Alichovaa Michelle Obama Chazua Mjadala Mrefu

download


Je mke wa rais haifai kuvaa kaptula?

Wakati Michelle Obama alipovaa nguo ambayo ilionyesha mabega na mikono yake wazi mjadala ulizuka kuhusiana na nguo zipi ni sahihi kwa mke wa rais kuvaa, hivi sasa umezuka mjadala mwingine kama huo baada ya Michelle Obama kutinga na kikaptula kifupi. Picha za kikaptula hicho cha Michelle Obama mwisho wa habari hii.

Mke wa rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama amezidi kuonyesha tofauti yake na wake wa marais waliopita wa Marekani. Michelle amekuwa mke wa kwanza wa rais kuvaa kaptula na kupanda dage la rais Air Force One.

Obama, mkewe na binti zake walikuwa Arizona katika vakesheni yao binafsi ya kutembelea sehemu mbali mbali za kitalii katika jimbo hilo lakini vyombo vya habari badala ya kushughulika na ziara ya mkuu huyo wa taifa kubwa duniani, walikuwa bize kupata taswira za kikaptula cha mke wa rais.

Vyombo vingi vya habari vya Marekani vimekuwa vikijadili nguo anazovaa Michelle Obama kama zinafaa kuvaliwa na mke wa rais au la huku watu wengine wakitoa maoni kwamba Michelle ni mwanamke kama wanawake wengine hivyo ana haki ya kuvaa atakavyo.



download


>



download

download


download



nini maoni yako
 
kiko wapi, mbona hakionekani? Aaaaaagh!
 
Mama kajaliwa kinoma unacheck ushape huo na usafiri wa nguvu au mnasemaje kina Pretty, Kelly01 na FL?
 
Hicho ni kivazi tu cha kawaida kwani kuwa mke wa prezident ndo usivae
nguo upendayo
avae tu hakuna tabu
 
Kwa kawaida ukiamua kuwa casual unachagua vazi lolote iwe mamaa au mkulu mwenyewe.
 
Mama kajaliwa na hivyo ndivyo mwanamke anavyotakiwa kuwa na shape.


Hamna lolote hapo angalia miguu hiyo msongombine au kwakuwa ni mke wa Rais wa Taifa kubwa?ukisema kajaliwa Urefu wa kuvutia nakubaliana na wewe ,juu ya haoyo yote Obama kafika hapo sisi ni washangiliaji tu tupo jukwaani ,hatuwashi wala hatuzimi.
 
Natamani na 'mama Salima' aanze kuvaa kama hivi, kwani Dar kuna joto sana.
 
Mhh kapendeza sana na yuko holiday RUHUSAA VAA MAMA UTESE !!!! Kila nguo ina sehemu yake waliokandia wana lao jambo, miwivu tuu.
 
000d60aab2a60a7cd7d224.jpg


Michelle Obama on Election Night/A model wears the same Narciso Rodriguez gown at NY Fashion Week.

designer-maria-pinto-and-michelle-obama-wearing-pintos-creation.jpg


Designer Maria Pinto and Michelle Obama
michelle-obama-fashion-sense.jpg

mrs-obama-and-mrs-biden.jpg

jill-and-michelle.jpg


Mrs. Obama and Mrs. Biden

michelle-obama-inaugural-ball-gown.jpg


michelle-obamas-inaugural-ball-gown.jpg


Michelle Obama Inaugural Ball Gown

the-obamas-celebrate.jpg

a-michelle-obama-fashion-statement.jpg

A Michelle Obama Fashion Statement

the-big-day.jpg

The Big Day


an-obama-embrace.jpg

An Obama Embrace


barack-and-michelle-obama-fashion.jpg


Barack and Michelle Obama Fashion

pinto_1243746i.jpg

Michelle+Obama_1642_19297945_0_0_7039510_300.jpg







michelleobamafashion.JPG

michelle-obama-fashion.jpg

michelle%20obama%20fashion%20collage%20copy.jpg

michelle-obama-fashion-1.gif

Very sorry kwa majadala huu wa picha!, tuleteeni fasheni ya upande mwingine wa shilingi tuone designers za nguo za ma presizd na muonekano katika sura ya dunia!
 
Back
Top Bottom