Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #21
Kafulila ni tapeli
BAVICHA Kafulila anawaumiza sana akili naona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafulila ni tapeli
Hana anachojuaBAVICHA Kafulila anawaumiza sana akili naona
Wanajua ndio maana wamempa PPPKafulila anakitu Cha ziada sijui kama CCM wanajua hili
Muhuni sana wewe jamaaHana anachojua
BaavichaaaBAVICHA Kafulila anawaumiza sana akili naona
Wewe unajua nn zaid ya matusi?!!Hana anachojua
Si CCM ni serikali wewe jamaa vipi ?!! [emoji1787]Wanajua ndio maana wamempa PPP
Mkuu wa majeshi anaitwaje? Na kwao ni MorogoroAnaitwa mtemi Nkunda. Kwa Tanzania mtemi Nkunda ni toka Mkoa gani?
Hahahahaha,Akili si "mbari"...
Akili si ukoo....
Akili ni mchanganyiko wa vitu vingi...
Sisi watanzania hatuna mchanganyiko wa vitu vingi ?!!
SawaMuhuni sana wewe jamaa
Nimewahi kukutukana?Wewe unajua nn zaid ya matusi?!!
[emoji1787]Hahahahaha,
Mara nyingi mkuu....Nimewahi kukutukana?
Kwenye uzi upi mkuu?Mara nyingi mkuu....
NkundaMkuu wa majeshi anaitwaje? Na kwao ni Morogoro
USSR
DaaahHana anachojua
Haya mambo mbona hatukuyafahamu hapo kabla?Naunga mkono hoja za wengi hii Crown Redio iko mbele sana,
Huyu Mtangazaji wa zamani wa BBC Bw Salim Kikeke anajua mambo mengi hasa ya kidunia hivyo ukienda kwenye interview kuwa makini na elewa vizuri unachokieleza.
Ona hapa alivyokutana uso kwa uso na Mkurugenzi wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila mjadala umekuwa moto fire.
Sikiliza mpaka mwisho mjadala huu kuhusu fursa za kuwekeza Kwa sharti la PPP hapa nchini.
Vijana changamkeni ajira ni hizi
View attachment 3080287
Hatari snDaaah
Nahisi wewe ndio sio raia wa nchi hiiKafulila sio Raia,
Mimi nipewe hii KUWASA naona wazingua sana sijajua natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani.
Hatari ipi?Hatari sn