Kikeke: Unasemaje kuhusu ukomo wa madaraka, Mbowe ang'aka

Mbangaizaji wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
493
Reaction score
844
Your browser is not able to display this video.


Mwandishi nguli wa habari wa Kimataifa Salim KIKEKE amempiga Mbowe nyundo ya kichwa na akapatoza fahamu palepale.

******
Salim Kikeke: "Unasemaje kuhusu UKOMO wa MADARAKA"

Freeman Mbowe: "Katiba yetu haizuii that means UKOMO sio tatizo kwenye DEMOKRASIA"

Salim Kikeke: "Kuna kitu kinaitwa TERM LIMIT"

Freeman Mbowe: "Tuachane na biashara ya TERM LIMIT, kwetu hakuna term limit"

Salim Kikeke: "Ukiwa RAIS hautatoka MADARAKANI kwa sababu utakuwa unachaguliwa"

Freeman Mbowe: "Jhhjdkdhhdhdjskebehehdhdndhdhdbbdjdjjfkfkrkdkrnnrndnrnregeyejbgwgjjke

HUYU MWAMBA AKIINGIA IKULU ATATOKA KWELI KWANI HAONESHI DALILI NJEMA KABISA.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mbowe anajua hawezi kuwa Raisi, bali manager wakudumu wa Chadema Saccos
 
Kajibu vipi sijamsikia
 
Kwenye haya ya mwishoo nimechekaaa sanaaaa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 

CCM na wenyewe wana maoni hayo hayo kama ya Mbowe hawaoni kwanini watoke madarakani. Katiba kwao ni kijitabu, kikaratasi.

Labda na yeye anakubaliana na CCM ndio maana anaona maridhiano, ruzuku, nusu mkate yanatosha. Sio kuiondoa CCM madarakani.
 
Hatokiiii
 
Kwa katiba ya CDM, Mbowe mnamuonea tu kuhusu term limit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ