Kikeke: Unasemaje kuhusu ukomo wa madaraka, Mbowe ang'aka

View attachment 3192052

Mwandishi nguli wa habari wa Kimataifa Salim KIKEKE amempiga Mbowe nyundo ya kichwa na akapatoza fahamu palepale.

******
Salim Kikeke: "Unasemaje kuhusu UKOMO wa MADARAKA"

Freeman Mbowe: "Katiba yetu haizuii that means UKOMO sio tatizo kwenye DEMOKRASIA"

Salim Kikeke: "Kuna kitu kinaitwa TERM LIMIT"

Freeman Mbowe: "Tuachane na biashara ya TERM LIMIT, kwetu hakuna term limit"

Salim Kikeke: "Ukiwa RAIS hautatoka MADARAKANI kwa sababu utakuwa unachaguliwa"

Freeman Mbowe: "Jhhjdkdhhdhdjskebehehdhdndhdhdbbdjdjjfkfkrkdkrnnrndnrnregeyejbgwgjjke

HUYU MWAMBA AKIINGIA IKULU ATATOKA KWELI KWANI HAONESHI DALILI NJEMA KABISA.
Kisheria,
hata ukomo wa madarka ukiwekwa chadema, chairman Mbowe bado atakua na haki na uhuru wa kikatiba kugombea uenyekiti kulingana sasa na huo ukomo wenyewe utakao wekwa 🐒
 
Mjanja sana ni DJ yule
Wakina mbowe na matapeli wenzake ndani ya chadema walitaka kuget rid ya ile timu yote cream ya wakina Lema, Msigwa, na Heche wote wasipate uenyekiti wa Kanda. Hilo likafanikiwa. Mission ikawa tunamtoaje Lissu. Wakaona ingiza Wenje ambae muda wote ni "Yes Sir". Lissu nae akachapa "ambush" ya maana. Nakufuata hukohuko juu 😅😅😅
 
View attachment 3192052

Mwandishi nguli wa habari wa Kimataifa Salim KIKEKE amempiga Mbowe nyundo ya kichwa na akapatoza fahamu palepale.

******
Salim Kikeke: "Unasemaje kuhusu UKOMO wa MADARAKA"

Freeman Mbowe: "Katiba yetu haizuii that means UKOMO sio tatizo kwenye DEMOKRASIA"

Salim Kikeke: "Kuna kitu kinaitwa TERM LIMIT"

Freeman Mbowe: "Tuachane na biashara ya TERM LIMIT, kwetu hakuna term limit"

Salim Kikeke: "Ukiwa RAIS hautatoka MADARAKANI kwa sababu utakuwa unachaguliwa"

Freeman Mbowe: "Jhhjdkdhhdhdjskebehehdhdndhdhdbbdjdjjfkfkrkdkrnnrndnrnregeyejbgwgjjke

HUYU MWAMBA AKIINGIA IKULU ATATOKA KWELI KWANI HAONESHI DALILI NJEMA KABISA.
Hata yeye Mbowe anajua hofu yetu sio relevant, kwa sababu hana ujanja wa kuingia Ikulu!😅
 
View attachment 3192052

Mwandishi nguli wa habari wa Kimataifa Salim KIKEKE amempiga Mbowe nyundo ya kichwa na akapatoza fahamu palepale.

******
Salim Kikeke: "Unasemaje kuhusu UKOMO wa MADARAKA"

Freeman Mbowe: "Katiba yetu haizuii that means UKOMO sio tatizo kwenye DEMOKRASIA"

Salim Kikeke: "Kuna kitu kinaitwa TERM LIMIT"

Freeman Mbowe: "Tuachane na biashara ya TERM LIMIT, kwetu hakuna term limit"

Salim Kikeke: "Ukiwa RAIS hautatoka MADARAKANI kwa sababu utakuwa unachaguliwa"

Freeman Mbowe: "Jhhjdkdhhdhdjskebehehdhdndhdhdbbdjdjjfkfkrkdkrnnrndnrnregeyejbgwgjjke

HUYU MWAMBA AKIINGIA IKULU ATATOKA KWELI KWANI HAONESHI DALILI NJEMA KABISA.
Kwl na akili zako unawaza mchaga kuingia Ikulu? Be seroius, ikulu ni mahali patakatifu
 
Back
Top Bottom