Kiketwe ni jabali la siasa za Tanzania

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science.

Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa
Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile ile Sayansi ya siasa

Mama anashinda kwa 80% na maisha yataendelea
 
Mkapa ndiye alizima uasi, bila Mkapa Kikwete angekuwa rais kwa term moja tu.
 
Pumbavu.
 
Jabali la siasa hatakiwi kutumia nguvu sehemu ya kutumia akili.
 
Kikwete ndiye kafeli vibaya Sana kwenye siasa ya nchi hii.

Mwaka 1885 Mwinyi hakuwa chaguo la Nyerere

Mwaka 1995 Mkapa hakuwa chaguo la Mwinyi

Mwaka 2005 Kikwete hakuwa chaguo la Mkapa

Mwaka 2015 Magufuli hakuwa chaguo la Kikwete

Mwaka 2015 chaguo lake lilikuwa Membe lakini akazidiwa ujanja na TISS

Mwaka huu chaguo lake ni Samia watch and see a movie

Kama alizungukwa na TISS 2015 Tena akiwa Rais, wakaweka mtu wao atashindwaje kuzungukwa mwaka huu waweke mtu wao?

Mwaka huu TISS ndio Ina bahasha ya mgombea wa CCM na Chadema kaeni kwa kutulia mtajionea mengi mwaka huu.
 
Your browser is not able to display this video.
 
No Reform No Election.
 
Kikwete ni jambazi, kama, alivyo Raila Odinga, Kenya, Kwa, Kenya, Gen Z, wameishamshitukia, wanaomkubali, ni, wale anaokula, nao,
Kwa, bongo, Kikwete, ni, jizi,jambazi, la, kisiasa, linalotumia using, uoga,wa, wa bongo kulinda utawala, wa, ccm, at least kwa, kipindi hiki, kabla, hajafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…