Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science.
Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa
Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile ile Sayansi ya siasa
Mama anashinda kwa 80% na maisha yataendelea
Unachaganya mambo, lack of moral compass, siyo ujabali …
CCM kutuletea Rais asiye kubalika ni hatari kwa chama chenu na usalama wa Rais mwwnyewe.
Uko sawa Raila Odinga ni jambazi namba moja Afrika Mashariki.Kikwete ni jambazi, kama, alivyo Raila Odinga, Kenya, Kwa, Kenya, Gen Z, wameishamshitukia, wanaomkubali, ni, wale anaokula, nao,
Kwa, bongo, Kikwete, ni, jizi,jambazi, la, kisiasa, linalotumia using, uoga,wa, wa bongo kulinda utawala, wa, ccm, at least kwa, kipindi hiki, kabla, hajafa.
Hamna kitu pale.Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science.
Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa
Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile ile Sayansi ya siasa
Mama anashinda kwa 80% na maisha yataendelea
Kikwete yupi? Huyu..Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science.
Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa
Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile ile Sayansi ya siasa
Mama anashinda kwa 80% na maisha yataendelea
Formula au ujanja ujanja? Yeye ndio sababu hiki chama kinaonekana na wasanii while wenye ni aya dhati wanawekwa pembeni, yeye ni nani?Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science.
Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa
Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile ile Sayansi ya siasa
Mama anashinda kwa 80% na maisha yataendelea
Marehemu Mkapa ndiyo alifanikiwa kuuzima ule uasi.But jamaa huwa anakuwa na plan B kila wakati na hasa usipotarajia!Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa
Inawezekana ni kweli Samia ni chaguo la Kikwete na TISS hawataki lakini hadi hapa ameshafanikiwa kwasababu kama ni chaguo lake sasa means alikuwa chaguo lake tangu kale na kweli ameyashika madaraka.Kikwete ndiye kafeli vibaya Sana kwenye siasa ya nchi hii.
Mwaka 1885 Mwinyi hakuwa chaguo la Nyerere
Mwaka 1995 Mkapa hakuwa chaguo la Mwinyi
Mwaka 2005 Kikwete hakuwa chaguo la Mkapa
Mwaka 2015 Magufuli hakuwa chaguo la Kikwete
Mwaka 2015 chaguo lake lilikuwa Membe lakini akazidiwa ujanja na TISS
Mwaka huu chaguo lake ni Samia watch and see a movie
Kama alizungukwa na TISS 2015 Tena akiwa Rais, wakaweka mtu wao atashindwaje kuzungukwa mwaka huu waweke mtu wao?
Mwaka huu TISS ndio Ina bahasha ya mgombea wa CCM na Chadema kaeni kwa kutulia mtajionea mengi mwaka huu.
Hivi Polepole alikuwa au ana wazo la kuwa Rais wa nchi hii au mie sielewi?? Yaani namaanisha amirijeshi sio rais wa mitandaoni.Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science.
Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa
Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile ile Sayansi ya siasa
Mama anashinda kwa 80% na maisha yataendelea
Yaani umzidi nguvu rais wa tz ambaye pia ni mwenyekiti wa chama,huwa mnafikiri sawasawa!?..mtu mwenyewe wa kumshinda 'rais jakaya kikwete'?!Mkapa ndiye alizima uasi, bila Mkapa Kikwete angekuwa rais kwa term moja tu.
Kura si tayari tiki!Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science.
Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa
Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile ile Sayansi ya siasa
Mama anashinda kwa 80% na maisha yataendelea
Upinzani wa nchi hii hamueleweki. CCM ikachagua mgombea dhaifu si ndo turufu kwenu mshinde kilaini, sasa kelele za nini.CCM kutuletea Rais asiye kubalika ni hatari kwa chama chenu na usalama wa Rais mwwnyewe.
Kwani hali iko vipi? Yaani nyie mnachafua hali ya hewa ya nchi iliyoko social media tu. Huko ground Samia mbele kwa mbeleHuo ushindi wa 80% utakuwa vipi ikiwa hali itaendelea kama hivi? Huu ni uandishi wa kichawa mjuba unafanya propaganda
Endelea kuota ndoto, ila ukiona mlango wa choo, amka mara moja. La sivyo utakunya kitandaniKama alizungukwa na TISS 2015 Tena akiwa Rais, wakaweka mtu wao atashindwaje kuzungukwa mwaka huu waweke mtu wao?
Mwaka huu TISS ndio Ina bahasha ya mgombea wa CCM na Chadema kaeni kwa kutulia mtajionea mengi mwaka huu.