Kiketwe ni jabali la siasa za Tanzania

Kiketwe ni jabali la siasa za Tanzania

Kikwete anaivuruga nchi, Kikwete anaivuruga CCM kwa manufaa ya familia yake. Huyu snitch mahali anapostahili kuwa kwa sasa ni kizuizini kwa sababu hataki kujiheshimu.
 
Kumbuka 90% ya wana chama wa ccm ni wakinga wasio kuwa na maamuzi, ni wengi lakini hawana ujasiri na maamuzi, pia masikini wanao mendea ubunge na viposho. Hata wakiwekwa kwenye tanuru na kuchomwa moto wata sema ndio mzee, hata mimi ninge kuwa Samia ninge waburuza hivyo hivyo hadi wajitambue.

Ndio maana tuna hitaji mbadala wa ccm, taasisi mpya, ambayo inaweza kusema hapana kaa pembeni wewe, bila kujali wewe ni nani.
 
Jabari la wapi? Katishwa kidogo tu na wahuni ndani ya CCM akaitelekeza Katiba Mpya ya Jaji Warioba dk ya 89.
Huyo Mzee ana mengi sana ya kutujibu muda ukifika.
 
Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science.

Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa
Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile ile Sayansi ya siasa

Mama anashinda kwa 80% na maisha yataendelea
Aliimarisha upinzani sana.Mtu wa demokrasia.Mungu amjalie afya njema
 
Unachaganya mambo, lack of moral compass, siyo ujabali …
Utanisamehe mkuu 'Kijakazi'' nadhani/pengine hukueleweka na baadhi yetu wasomaji wako, kwa hili ulilo andika hapa, na sisi tuliosoma, tukaamua kushangilia kivyetu kuonyesha tulivyo kuelewa.

Mimi nimefurahishwa sana na ulicho kisema, ndiyo maana nikatoa 'LOVE', kungekuwa na zaidi ya hiyo, ningetoa.
Lakini namkumbuka rafiki yangu wa siku nyingi humu JF, mkuu 'Stuxnet', ambaye pia nimeona kakuzawadia 'LIKE', kwa maana ya kukubaliana na uliyoeleza.

Kwa kumfahamu vizuri rafiki yangu huyu siku hizi za karibuni, najikuta ninajishangaa imekuwaje leo, wewe ukafanikiwa kutuunganisha upande mmoja kwa maneno yako haya machache sana uliyotumia hapa!

Naomba nikuPongeze kwa ufundi wako huu mkubwa.
 
Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science.

Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa
Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile ile Sayansi ya siasa

Mama anashinda kwa 80% na maisha yataendelea
usimpangie Mungu, endeleeni kushupaza shingo.
 
Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science.

Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa
Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile ile Sayansi ya siasa

Mama anashinda kwa 80% na maisha yataendelea
Asiye na Akili TIMAMU hawezi kuwa jabali hata siku Moja,kama mtu asiye na Akili TIMAMU ww unamuona jabali sasa ww una hali Gani?
 
Back
Top Bottom