Kiketwe ni jabali la siasa za Tanzania


Wanadamu tunapenda sana uongo. Na tunapenda sana kudanganyana😂😂😂
 
Uko sawa Raila Odinga ni jambazi namba moja Afrika Mashariki.
 
Hamna kitu pale.
Ni mtu charismatic tu. Anapendwa tu hata akiboa. Ana bahati hiyo. Ila hamna kitu. Mipango yake ya ujanja ujanja ingeweza kuimegua CCM mwaka 2015 asingekuwepo Mkapa. Hata huu uhuni alioidhinisha kikao kilichopita ndio unataka kuleta shida kwenye chama.
 
Kikwete yupi? Huyu..
Your browser is not able to display this video.
 
Formula au ujanja ujanja? Yeye ndio sababu hiki chama kinaonekana na wasanii while wenye ni aya dhati wanawekwa pembeni, yeye ni nani?
 
Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa
Marehemu Mkapa ndiyo alifanikiwa kuuzima ule uasi.But jamaa huwa anakuwa na plan B kila wakati na hasa usipotarajia!

Ujasusi wake anautumia vizuri sana, coz huwa hapaniki na hana papara.Huwezi kuwa vile bila mafunzo maalumu.
 
Inawezekana ni kweli Samia ni chaguo la Kikwete na TISS hawataki lakini hadi hapa ameshafanikiwa kwasababu kama ni chaguo lake sasa means alikuwa chaguo lake tangu kale na kweli ameyashika madaraka.
 
sayansi inadhibitishwa na practical,kwenye practical amefeli sana kuanzia utekaji wa Dr.ulimboka na ameendelea kuwa craftman behind the scene kwa tawala nyingi hio ni ishara ya kuishiwa maarifa na mbinu za kivita.
 
Hivi Polepole alikuwa au ana wazo la kuwa Rais wa nchi hii au mie sielewi?? Yaani namaanisha amirijeshi sio rais wa mitandaoni.
 
Mkapa ndiye alizima uasi, bila Mkapa Kikwete angekuwa rais kwa term moja tu.
Yaani umzidi nguvu rais wa tz ambaye pia ni mwenyekiti wa chama,huwa mnafikiri sawasawa!?..mtu mwenyewe wa kumshinda 'rais jakaya kikwete'?!
 
Kura si tayari tiki!
 
Huo ushindi wa 80% utakuwa vipi ikiwa hali itaendelea kama hivi? Huu ni uandishi wa kichawa mjuba unafanya propaganda
Kwani hali iko vipi? Yaani nyie mnachafua hali ya hewa ya nchi iliyoko social media tu. Huko ground Samia mbele kwa mbele
 
Kama alizungukwa na TISS 2015 Tena akiwa Rais, wakaweka mtu wao atashindwaje kuzungukwa mwaka huu waweke mtu wao?

Mwaka huu TISS ndio Ina bahasha ya mgombea wa CCM na Chadema kaeni kwa kutulia mtajionea mengi mwaka huu.
Endelea kuota ndoto, ila ukiona mlango wa choo, amka mara moja. La sivyo utakunya kitandani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…