Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dash nimecheka Sana , musiba is hopelesslyAangalie Tu asije akacheza Sana kajikuta ana kipande cha mb.o..oo mndukuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes , well said broUkiwa kama mzazi, vitendo kama hivi vinaweza visikuathiri wewe moja kwa moja lakini vinawaweka kwenye wakati mgumu sana mke wako na watoto. Just imagine mkeo yupo saluni au sehemu ya mkusanyiko halafu mmoja wapo wa wateja anatoa simu yake na kuanza kuangalia hiyo video.. wanaanza kucheka na kusema "huyu si mume wa fulani?" Au watoto wako shuleni wanaanza kuchekwa na wenzao na kutaniwa kisa baba yao unafanya vituko kama hivi. Mtoto anajikuta anakua mnyonge hata kujibu swali darasani hathubutu!
Jifunze kutafuta ugali kwa njia ambazo hazikudhalilishi bila sababu na kuwaletea matatizo wale uwapendao ambao kimsingi ndio unaowatafutia maisha.