KIKI KUBUMA : Musiba sasa naona anajidhalilisha ,Hebu wakuu angalieni hapa

KIKI KUBUMA : Musiba sasa naona anajidhalilisha ,Hebu wakuu angalieni hapa

Kanikumbusha enzi hzo za shule,jitu linajpendekeza kwa mwalimu mpaka kupitiliza afu la kiume,huu pia ni ushoga (kujpendekeza sana kwa mwanaume mwenzio)
 
Kwa kweli hakuna kiumbe mwenye wakati mgumu duniani kama mwanamke, kupata mwanaume sashihi wa kukuoa awe MUME ni kazi kweli kweli, wanaume ni wengi sana ila WAUME ni wachache sana, mke wa musiba namuonea aibu atakayo ipata mbeleni watoto wao watakapo kuwa watu wazima, huyu si baba kabisa.
 
Dah! Halafu anapatikana mtu wa kutuambia Pierre Liquid ni mtu wa hovyo...wa hovyo kulinganisha na nani?
 
inaweza kuwa yupo kwenye stage Fulani kuelekea Milembe
 
Njaa mbaya sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama mustakabali wangu unategemea mimi kujirekodi na kupiga makelele kama hayo, nitapiga.

Inakua ni kuchagua, ama uwe mwanaume au uwe baba. Ukiwa baba utahakikisha mwanao anaenda chooni.

Tukabiliane na ukweli nchi yetu ina options chache za kukufanya uwe na uhakika wa maisha kama hautataka kusukumizana kwenye siasa.
 
Hivi jamaa ana familia kweli, na kama anayo inamchukuliaje?, Najiuliza tuu..
 
Ukiwa kama mzazi, vitendo kama hivi vinaweza visikuathiri wewe moja kwa moja lakini vinawaweka kwenye wakati mgumu sana mke wako na watoto. Just imagine mkeo yupo saluni au sehemu ya mkusanyiko halafu mmoja wapo wa wateja anatoa simu yake na kuanza kuangalia hiyo video.. wanaanza kucheka na kusema "huyu si mume wa fulani?" Au watoto wako shuleni wanaanza kuchekwa na wenzao na kutaniwa kisa baba yao unafanya vituko kama hivi. Mtoto anajikuta anakua mnyonge hata kujibu swali darasani hathubutu!
Jifunze kutafuta ugali kwa njia ambazo hazikudhalilishi bila sababu na kuwaletea matatizo wale uwapendao ambao kimsingi ndio unaowatafutia maisha.
 
Yes , well said bro
 
Back
Top Bottom