Mnapigishwa norinda tuNo reform no election ipo palepake
Lakini no reform no election hata kwenye hiyo Darby mabango hayo yatatawalaMnapigishwa norinda tu
25 hakuna derby…. Itakuja desma nyingine hadi Oct
Sawa tuLakini no reform no election hata kwenye hiyo Darby mabango hayo yatatawala
Hakuna mwenye nguvu ya kumkatalia Rais wa nchi hapa TanzaniaUjio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza haya yote ilibidi yatafutwe matukio yatakayokuwa gumzo kwa muda mrefu
Kwenye hali kama hizi wasanii wakubwa hutumika sana kutengeneza matukio.. Lakini this time around, mambo yalikuwa tofauti sana! Trending za matukio ya wasaniii zilipotezewa vibaya mno! Watu wakawa ni NO REFORMS NO ELECTION kila mahali
Ujio wa DERBY YA KARIAKOO umebadilisha upepo wote.. Kuna maamuzi ya wiki hii yamefanywa kwa nia maalum..lakini ovu kwa mustakabali wa soka la bongo
TFF ndio msimamizi anayetambulika kisheria .. Hakukuwa na haja ya kuwahusisha wanasiasa.. Sasa baadhi ya viongozi wamejiuzulu na wengine kusimamishwa kwa kinachosemekana ni shinikizo la wanasiasa
Kuna viongozi wa timu husika kwenye Derby ya kariakoo wameenda Dodoma 'kusuluhishwa' (mvurugano mwingine huu) maana inasemekana baadhi ya viongozi waliokwenda hawana ridhaa ya wenzao
Derby imesogezwa mbele tena kutoka tar 15 June mpaka tar 25.. Tatizo limezaa tatizo
Mvurugano uliokuwa umetengenezwa yanga sasa umehamishiwa Simba.. Mambo ya NO REFORMS NO ELECTION kidogo yamesahaulika wananchi wako busy kujadili derby ya kariakoo.. Ni vurugu mechi kila mahali
Wanasiasa wamefaulu kwa muda kwenye hili lakini litaacha makovu na hasara ya muda mrefu kwenye sika letu.. Derby itapoteza ladha na msisimko wake...
Hakukuwa na maana yoyote kuisogeza tena mbele Derby ya Kariakoo.. Ndio maana FIFA wamekataa wanasiasa wasijihusishe na soka!
No reform no electionHakuna mwenye nguvu ya kumkatalia Rais wa nchi hapa Tanzania
Mashabiki wa Simba bhana ilipoahirishwa tar 8 Machi mlijisikia fahari sana hamkujua yale maamuzi yanaweza kutupeleka huku mnakolalamikia. Ubaya ubwelo acha dawa iwaingie mtajifunza siku nyingine na viongozi wenu uchwaraHakukuwa na maana yoyote kuisogeza tena mbele Derby ya Kariakoo.. Ndio maana FIFA wamekataa wanasiasa wasijihusishe na soka!
Derby lazima iwepo ili ku protect image ya Mkuu wa nchi mana yeye ndio kama amekuwa negotiator kwenye hili swala,Mnapigishwa norinda tu
25 hakuna derby…. Itakuja desma nyingine hadi Oct
Ukishakuwa yanga akili inakuwa ya kiccm ccmMashabiki wa Simba bhana ilipoahirishwa tar 8 Machi mlijisikia fahari sana hamkujua yale maamuzi yanaweza kutupeleka huku mnakolalamikia. Ubaya ubwelo acha dawa iwaingie mtajifunza siku nyingine na viongozi wenu uchwara
Binafsi naacha kushabikia soka la TanzaniaUjio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza haya yote ilibidi yatafutwe matukio yatakayokuwa gumzo kwa muda mrefu
Kwenye hali kama hizi wasanii wakubwa hutumika sana kutengeneza matukio.. Lakini this time around, mambo yalikuwa tofauti sana! Trending za matukio ya wasaniii zilipotezewa vibaya mno! Watu wakawa ni NO REFORMS NO ELECTION kila mahali
Ujio wa DERBY YA KARIAKOO umebadilisha upepo wote.. Kuna maamuzi ya wiki hii yamefanywa kwa nia maalum..lakini ovu kwa mustakabali wa soka la bongo
TFF ndio msimamizi anayetambulika kisheria .. Hakukuwa na haja ya kuwahusisha wanasiasa.. Sasa baadhi ya viongozi wamejiuzulu na wengine kusimamishwa kwa kinachosemekana ni shinikizo la wanasiasa
Kuna viongozi wa timu husika kwenye Derby ya kariakoo wameenda Dodoma 'kusuluhishwa' (mvurugano mwingine huu) maana inasemekana baadhi ya viongozi waliokwenda hawana ridhaa ya wenzao
Derby imesogezwa mbele tena kutoka tar 15 June mpaka tar 25.. Tatizo limezaa tatizo
Mvurugano uliokuwa umetengenezwa yanga sasa umehamishiwa Simba.. Mambo ya NO REFORMS NO ELECTION kidogo yamesahaulika wananchi wako busy kujadili derby ya kariakoo.. Ni vurugu mechi kila mahali
Wanasiasa wamefaulu kwa muda kwenye hili lakini litaacha makovu na hasara ya muda mrefu kwenye sika letu.. Derby itapoteza ladha na msisimko wake...
Hakukuwa na maana yoyote kuisogeza tena mbele Derby ya Kariakoo.. Ndio maana FIFA wamekataa wanasiasa wasijihusishe na soka!
Bodi ya Ligi ni wazembe wanashindwa kutasfsiri kanuni tulizo jiwekekeaUjio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza haya yote ilibidi yatafutwe matukio yatakayokuwa gumzo kwa muda mrefu
Kwenye hali kama hizi wasanii wakubwa hutumika sana kutengeneza matukio.. Lakini this time around, mambo yalikuwa tofauti sana! Trending za matukio ya wasaniii zilipotezewa vibaya mno! Watu wakawa ni NO REFORMS NO ELECTION kila mahali
Ujio wa DERBY YA KARIAKOO umebadilisha upepo wote.. Kuna maamuzi ya wiki hii yamefanywa kwa nia maalum..lakini ovu kwa mustakabali wa soka la bongo
TFF ndio msimamizi anayetambulika kisheria .. Hakukuwa na haja ya kuwahusisha wanasiasa.. Sasa baadhi ya viongozi wamejiuzulu na wengine kusimamishwa kwa kinachosemekana ni shinikizo la wanasiasa
Kuna viongozi wa timu husika kwenye Derby ya kariakoo wameenda Dodoma 'kusuluhishwa' (mvurugano mwingine huu) maana inasemekana baadhi ya viongozi waliokwenda hawana ridhaa ya wenzao
Derby imesogezwa mbele tena kutoka tar 15 June mpaka tar 25.. Tatizo limezaa tatizo
Mvurugano uliokuwa umetengenezwa yanga sasa umehamishiwa Simba.. Mambo ya NO REFORMS NO ELECTION kidogo yamesahaulika wananchi wako busy kujadili derby ya kariakoo.. Ni vurugu mechi kila mahali
Wanasiasa wamefaulu kwa muda kwenye hili lakini litaacha makovu na hasara ya muda mrefu kwenye sika letu.. Derby itapoteza ladha na msisimko wake...
Hakukuwa na maana yoyote kuisogeza tena mbele Derby ya Kariakoo.. Ndio maana FIFA wamekataa wanasiasa wasijihusishe na soka!
Bodi ya ligi hawana elimu ya michezo na elimu ya majanga wapo kama sanamu, (figure heads)Sasa huko walikofuata suluhu ndio kabisaaaa