Kiki ya derby ya Kariakoo ndio imebamba ila tunaua soka letu

Kiki ya derby ya Kariakoo ndio imebamba ila tunaua soka letu

Derby lazima iwepo ili ku protect image ya Mkuu wa nchi mana yeye ndio kama amekuwa negotiator kwenye hili swala,

Japo naona kama pamoja na kupata credit za kusuluhisha ili swala naona pametengenezwa mgogoro mwingine mkubwa sana Kwasbabu ushirikishwaji wa team zote kwenye hayo majadiliano ulikuwa mdogo sana sana

Simba hawana Furaha

Mama Pale alipaswa awaite wafadhili wakuu wa team GSM na Mo pamoja na ma CEO wa teams stop watu wanne hawa wangeweza kutoa ultimatum nzuri sana

Hao kina Mangungu wao wanafanya decision kwa Kuangalia Political Capital yao uko mbele
Drama yote yq derby ni siasa ya kunyausha drama za ndumuz

And it is working

Subiri nyingine inakuja
 
Watu walikanyaga kanuni makusudi Simba wakachekelea leo unao umegeuka inaongelewa soka la bongo kimataifa kushuka kweli hii bongo nyoso
 
🥺🥺🥺🥺 Tangu lini?
IMG-20250614-WA0081.jpg
 
Uongozi wa Klabu ya Simba, mara baada ya kupokea taarifa kuwa mchezo wa dabi umesogezwa mbele mpaka Juni 25, badala ya Juni 15 (kesho), umevunja kambi na kutoa muda kwa wachezaji kwenda kupumzika na kukutana na familia zao.

Wachezaji hao watarejea Jumatatu kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa Ligi kuu dhidi ya Kengold utakaopigwa Juni 18.

Powered by @sokabetafrica

#NestoShayoUPDATES #NguvuMoja #SimbaSc
1749920166172.jpg
 
Ujio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza haya yote ilibidi yatafutwe matukio yatakayokuwa gumzo kwa muda mrefu

Kwenye hali kama hizi wasanii wakubwa hutumika sana kutengeneza matukio.. Lakini this time around, mambo yalikuwa tofauti sana! Trending za matukio ya wasaniii zilipotezewa vibaya mno! Watu wakawa ni NO REFORMS NO ELECTION kila mahali

Ujio wa DERBY YA KARIAKOO umebadilisha upepo wote.. Kuna maamuzi ya wiki hii yamefanywa kwa nia maalum..lakini ovu kwa mustakabali wa soka la bongo
TFF ndio msimamizi anayetambulika kisheria .. Hakukuwa na haja ya kuwahusisha wanasiasa.. Sasa baadhi ya viongozi wamejiuzulu na wengine kusimamishwa kwa kinachosemekana ni shinikizo la wanasiasa
Kuna viongozi wa timu husika kwenye Derby ya kariakoo wameenda Dodoma 'kusuluhishwa' (mvurugano mwingine huu) maana inasemekana baadhi ya viongozi waliokwenda hawana ridhaa ya wenzao
Derby imesogezwa mbele tena kutoka tar 15 June mpaka tar 25.. Tatizo limezaa tatizo

Mvurugano uliokuwa umetengenezwa yanga sasa umehamishiwa Simba.. Mambo ya NO REFORMS NO ELECTION kidogo yamesahaulika wananchi wako busy kujadili derby ya kariakoo.. Ni vurugu mechi kila mahali
Wanasiasa wamefaulu kwa muda kwenye hili lakini litaacha makovu na hasara ya muda mrefu kwenye sika letu.. Derby itapoteza ladha na msisimko wake...

Hakukuwa na maana yoyote kuisogeza tena mbele Derby ya Kariakoo.. Ndio maana FIFA wamekataa wanasiasa wasijihusishe na soka!
Ni kweli mpira wetu unaenda kufa ni suala la mda tu
 
Back
Top Bottom